Hii ni historia na visa vya Mitume, Manabii, Wajawema na Makhalifa Mtume (s.a.w)
Kitabu hiki kinakwenda kukuletea historia ya Mitume, wajawema na makhalifa wanne baada ya kutawafu kwa Mtume Muhammad (s.a.w). Kitabu hiki kinakwenda kukuletea historia hizi kama zilivyotajwa kwenye quran.
Pia utaona historia za watu wa jamii mbalimbali zilizoangamizwa na Allah. Pia utajifunza historia za baadhi ya wajawema waliotajwa ndani ya Quran. Baada ya hapo ujajifunza historia ya baadhi ya watu waovu waliotajwa ndani ya Quran.
YALIYOMO:UTANGULIZIUMUHUMU WA KUSWALILENGO LA SWALAMAANA YA SWALAKUSIMAMISHA SWALASHARTI ZA SWALATWAHARAKUCHUNGA WAKATIADHANA NA...
Hapa utajifunza:-1. sababu za kupunguwa kwa nguvu za kiume2. Njia za kujikinga...
Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa hadithi ndefu zilizopata kusimuliwa....
Kitabu hiki kinakwenda kukuletea historia ya Mitume, watu walio wachamyngu na makhalifa...
Hii ni nafasi yako ya kujifunza FIQH kwa lugha ya kiswahili. ...
Hapa utajifunza kuhusu PHP na jinsi inavyoweza kutumika katika kutengeneza tovuti na...
Created with AppPage.net
Similar Apps - visible in preview.