Haya ni mafunzo ya swala na namna ya kuswali katika uislamu.
Hiki ni kitabu kitakachokupa mafunzo ya swala, namna ya kuswali kama alivyoswali Mtume Muhammad (s.a.w) na masahaba zake.
Utajifunza:-
1. Jinsi ya kutia udhu
2. Kuondoa najisi
3. kuoga na kujitwaharisha
4. Sharti za swala
5. Nguzo za Swala
6. Dua za kwenye swala
7. tahiyatu
8. Swala ya Mtume
9. Dua baada ya swala
10. Yanayoharibu swala
11. Sunnah za swala
Kama utaona kuna makosa yeyote ya kiuadhishi ama kifahamu, tafadhali wasiiana nasi.
Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa hadithi ndefu zilizopata kusimuliwa....
Jufunze Dua na Adhkari alizokuwa akitumia Mtume Muhammad yeye na Sahaba zake...
YALIYOMO:MARADHI YA MOYOMARADHI YA SARATANIMARADHI YA KISUKARIMARADHI YA UTIMRADHI YA VIDONDA VYA...
Huu ni mwendelezo wa Hadithi za Alif Lela U Lela. Hapa nitakuletea...
YALIYOMO:UTANGULIZIUMUHUMU WA KUSWALILENGO LA SWALAMAANA YA SWALAKUSIMAMISHA SWALASHARTI ZA SWALATWAHARAKUCHUNGA WAKATIADHANA NA...
Hii ni nafasi yako ya kujifunza FIQH kwa lugha ya kiswahili. ...
Frequently Asked Questions(FAQ)
Created with AppPage.net
Similar Apps - visible in preview.