HADITHI YA CHONGO WATATU
This is a sweet story filled with Hamasa in the story of the three travelers.
About HADITHI YA CHONGO WATATU
Hi hadithi ndefu inayoelezea historia ya wanaume watatu ambao ni chongo kwenye jicho moja. Ijapokuwa wanaume hawa wameishi maeneo tofauti lakini wote chongo zao zipo jicho moja. Wanakutana ugenini wakiwa wamenyoa nyusi katika hali ambayo inaweza kukuchekesha.
Kisa hiki kitaangalia zaidi maisha ya watoto wa Wafalme na matajiri, changamoto wanazokutana nazo na vipi wanaweza kukabiliana nazo. Katika hadithi hii utapata kujuwa maamuzi ya busara ni nini na wapi yanahitajika.
Huu n muendeezo wa kisa kirefu katika hadithi za Alif lela ambazo zilipatapo kusimuliwa siku za zamani sana.
Similar Apps
VISA VYA MITUME, MANABII, WAJA
Kitabu hiki kinakwenda kukuletea historia ya Mitume, watu walio wachamyngu na makhalifa...
Hadithi 40 Nawawi
Hizi ni hadithi 40 zilizopokelewa kutoka kwa Mtume Muhammad (s.a.w) kupitia kwa...
SIMULIZI ZA HADITHI KITABU 2
Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa hadithi ndefu zilizopata kusimuliwa....
KITABU CHA DUA
Hapa utajifunza taratibu za kuomba dua kama:-1. MAANA NA FADHILA ZA DUA2....
KITABU CHA DUA NA ADHKARI ZA M
Jufunze Dua na Adhkari alizokuwa akitumia Mtume Muhammad yeye na Sahaba zake...
Kitabu cha Swala na jinsi ya
Hiki ni kitabu kitakachokupa mafunzo ya swala, namna ya kuswali kama alivyoswali...
Frequently Asked Questions (FAQ)