Back to Top
KITABU CHA DUA NA ADHKARI ZA MTUME MUHAMMAD Screenshot 0
KITABU CHA DUA NA ADHKARI ZA MTUME MUHAMMAD Screenshot 1
KITABU CHA DUA NA ADHKARI ZA MTUME MUHAMMAD Screenshot 2
KITABU CHA DUA NA ADHKARI ZA MTUME MUHAMMAD Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About KITABU CHA DUA NA ADHKARI ZA MTUME MUHAMMAD

Jufunze Dua na Adhkari alizokuwa akitumia Mtume Muhammad yeye na Sahaba zake katika nyakati tofautitofauti. Hapa utazisoma dua Nyingi zaidi ya 500.

1. dua ya kuamka
2. Dua ya kulala
3. dua ya kujikinga na wachawi
4. Dua ya kujikinga na majini na mashetani
5. Dua ya kuwaombea wazazi
6. Dua ya kuingia msikitini
7. Dua za kuswalia
8. kumswalia Mtume
9.Dua za pindi upepo unapovuma
10. Dua za kuingia chooni
11. Dua pindi unapokutana na adui
12. Dua ya maharusi
13. Dua za kuombea haja mbalimbali
14. Dua za kuomba kheri duniani
15. Dua ya Dua ya kutoka chooni

Similar Apps

SIMULIZI ZA HADITHI KITABU 2

SIMULIZI ZA HADITHI KITABU 2

0.0

Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa hadithi ndefu zilizopata kusimuliwa....

KITABU CHA DUA NA ADHKARI ZA M

KITABU CHA DUA NA ADHKARI ZA M

0.0

Jufunze Dua na Adhkari alizokuwa akitumia Mtume Muhammad yeye na Sahaba zake...

AFYA NA MAGONJWA

AFYA NA MAGONJWA

0.0

YALIYOMO:MARADHI YA MOYOMARADHI YA SARATANIMARADHI YA KISUKARIMARADHI YA UTIMRADHI YA VIDONDA VYA...

Hadithi ya Sinbadi

Hadithi ya Sinbadi

0.0

Huu ni mwendelezo wa Hadithi za Alif Lela U Lela. Hapa nitakuletea...

SWALA NA NAMNA YA KUISWALI

SWALA NA NAMNA YA KUISWALI

0.0

YALIYOMO:UTANGULIZIUMUHUMU WA KUSWALILENGO LA SWALAMAANA YA SWALAKUSIMAMISHA SWALASHARTI ZA SWALATWAHARAKUCHUNGA WAKATIADHANA NA...

Fiqh kwa kiswahili

Fiqh kwa kiswahili

0.0

Hii ni nafasi yako ya kujifunza FIQH kwa lugha ya kiswahili. ...

Frequently Asked Questions(FAQ)

Ni nini kitabu hiki?

Ni kitabu cha dua na adhkari za Mtume Muhammad ambacho kinajumuisha zaidi ya dua 500.

Dua gani zinapatikana katika kitabu hiki?

Kitabu hiki kina dua mbalimbali kama vile dua ya kuamka, dua ya kulala, dua ya kujikinga na wachawi, dua ya kujikinga na majini na mashetani, dua ya kuwaombea wazazi, dua ya kuingia msikitini, dua za kuswalia, kumswalia Mtume, dua za pindi upepo unapovuma, dua za kuingia chooni, dua pindi unapokutana na adui, dua ya maharusi, dua za kuombea haja mbalimbali, dua za kuomba kheri duniani, na dua ya kutoka chooni.