Back to Top
SWALA YA MAITI Screenshot 0
SWALA YA MAITI Screenshot 1
SWALA YA MAITI Screenshot 2
SWALA YA MAITI Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About SWALA YA MAITI

Hapa utajifunza namna ya kutekeleza ibada ya kumswalia maiti ama swala ya jeneza. Tumeandaa somo hili kwa ajili ya kutoa elimu kwa waislamu ambao wanataka kujifunza swala ya maiti na namna ya kumhifadhi maiti wa kislamu.

Katika somo hili pia utajifunza namna ya kuandaa sanda ya maiti wa kike, kiume na watoto. Pia utajifunza jinsi ya kumtwaharisha maiti wa kislamu.

Tunatarajia kuongeza masomo zaidi kuhusu mada hii ya maiti. Tunatarajia radhi za Allah katika kazi hii na kwako ndugu msomaji tunatarajia dua njema.

Similar Apps

SIMULIZI ZA HADITHI KITABU 2

SIMULIZI ZA HADITHI KITABU 2

0.0

Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa hadithi ndefu zilizopata kusimuliwa....

KITABU CHA DUA NA ADHKARI ZA M

KITABU CHA DUA NA ADHKARI ZA M

0.0

Jufunze Dua na Adhkari alizokuwa akitumia Mtume Muhammad yeye na Sahaba zake...

Darasa za Quran na mafundisho

Darasa za Quran na mafundisho

0.0

YALIYOMO:MAANA YA QURAN NA MAJINA YAKEWANAOONGOZWA NA WASIOONGOZWA NA QURANTAJWEED (HUKUMU ZA...

AFYA NA MAGONJWA

AFYA NA MAGONJWA

0.0

YALIYOMO:MARADHI YA MOYOMARADHI YA SARATANIMARADHI YA KISUKARIMARADHI YA UTIMRADHI YA VIDONDA VYA...

VISA VYA MITUME, MANABII, WAJA

VISA VYA MITUME, MANABII, WAJA

0.0

Kitabu hiki kinakwenda kukuletea historia ya Mitume, watu walio wachamyngu na makhalifa...

KITABU CHA DUA

KITABU CHA DUA

0.0

Hapa utajifunza taratibu za kuomba dua kama:-1. MAANA NA FADHILA ZA DUA2....

Frequently Asked Questions(FAQ)

Unajifunza nini katika somo hili la Swala ya Maiti?

Utajifunza namna ya kutekeleza ibada ya kumswalia maiti na namna ya kumhifadhi maiti wa kislamu.

Je, somo hili limelengwa kwa ajili ya nani?

Somo hili limeandaliwa kwa ajili ya waislamu ambao wanataka kujifunza swala ya maiti na namna ya kumhifadhi maiti wa kislamu.

Kuna vipi katika somo hili kuhusu kuandaa sanda ya maiti?

Katika somo hili utajifunza namna ya kuandaa sanda ya maiti wa kike, kiume na watoto.

Pia utajifunza nini kuhusu kutwaharisha maiti wa kislamu?

Utajifunza jinsi ya kumtwaharisha maiti wa kislamu.

Je, kuna masomo zaidi kuhusu mada hii ya maiti yanayotarajiwa kuongezwa?

Ndiyo, tunatarajia kuongeza masomo zaidi kuhusu mada hii ya maiti.

Kuna kitu ambacho tunatumai katika kazi hii?

Tunatarajia radhi za Allah katika kazi hii na kwako ndugu msomaji tunatarajia dua njema.