Back to Top
Ndoa katika Uislam Screenshot 0
Ndoa katika Uislam Screenshot 1
Ndoa katika Uislam Screenshot 2
Ndoa katika Uislam Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Ndoa katika Uislam

Katika Somo hili utakwenda kujifunza mengi kuhusu ibada ya ndoa kulingana na taratibu na sheria za dini ya kiislamu. Tumeandaa somo hili kwa wale ambao ndio wanaelekea kufunga ndoa na wale ambao tayari wapo kwenye ndoa.

Katika somo hili utaweza kujifunza taratibu hatuwa kwa hatuwa kabla ya kuoa, nani anapasa kuolewa, kuchaguwa mchumba na kumuangalia mchumba. Utasoma zaidi namna ya kufunga ndoa na kuishi kwa wema ndani ya ndoa.

Taratibu za kuachana na hatua zinazopasa kuchukuliwa baada ya kugombana. Pia utajifunza aina kuu za talaka, na taratibu zake za kutaliki.

Tumeandaa kazi hii kwaajili ya Allah. Hivyo tunaomba dua njema kutoka kwako msomaji ili Allah atuongoze katika njia ya kheri.

Similar Apps

SWALA NA NAMNA YA KUISWALI

SWALA NA NAMNA YA KUISWALI

0.0

YALIYOMO:UTANGULIZIUMUHUMU WA KUSWALILENGO LA SWALAMAANA YA SWALAKUSIMAMISHA SWALASHARTI ZA SWALATWAHARAKUCHUNGA WAKATIADHANA NA...

JITIBU NGUVU ZA KIUME

JITIBU NGUVU ZA KIUME

0.0

Hapa utajifunza:-1. sababu za kupunguwa kwa nguvu za kiume2. Njia za kujikinga...

VISA VYA MITUME, MANABII, WAJA

VISA VYA MITUME, MANABII, WAJA

0.0

Kitabu hiki kinakwenda kukuletea historia ya Mitume, watu walio wachamyngu na makhalifa...

KITABU CHA DUA

KITABU CHA DUA

0.0

Hapa utajifunza taratibu za kuomba dua kama:-1. MAANA NA FADHILA ZA DUA2....

KITABU CHA DUA NA ADHKARI ZA M

KITABU CHA DUA NA ADHKARI ZA M

0.0

Jufunze Dua na Adhkari alizokuwa akitumia Mtume Muhammad yeye na Sahaba zake...

SIMULIZI ZA HADITHI KITABU 2

SIMULIZI ZA HADITHI KITABU 2

0.0

Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa hadithi ndefu zilizopata kusimuliwa....