Kiongozi Mwadventista
Almodad Amos Yaragwiller Books & Reference
Departmental Seminars for Local Seventh-day Adventist Church Leaders.
- Rating
- 5.0
- 6 ratings
- Downloads
- 500+
- on Google Play
- Price
- Free
- No in-app purchases
- Updated
- Aug 20
- 2022 · v1.0.5
Screenshots
Save to PinterestAbout Kiongozi Mwadventista
Kazi ya mchungaji, hasa katika mazingira ya Kanisa lililoko Afrika ni kazi inayomuhitaji Mchungaji kutoa huduma nyingi. Mchungaji hufanya kazi kama mshauri wa ndoa, Mchungaji hufanya kazi kama mwangalizi mkuu wa Kanisa, Mchungaji anaandaa mahubiri mengi ambayo yanachukua muda mwingi (inasemekana hubiri moja zuri linachukua kazi ya masaa sita mpaka masaa kumi na sita, Mchungaji anahudumu kama mlezi wa familia yake mwenyewe, mchungaji anahudumu kama afisa mahusiano wa Kanisa kwa jamii inayomzunguka, mchungaji anapaswa kuwa mfundishaji wa masomo ya Imani za msingi na mafundisho ya unabii, mchungaji anasimama kama mwenyekiti wa vikao vya baraza la Kanisa.
Hii kazi inakuwa kubwa zaidi pale mchungaji kama huyo anapokuwa na makanisa mawili au zaidi. Kuna maeneo ambayo nimeona mchungaji akichunga mpaka makanisa ishiriki au zaidi. Katika mazingira kama hayo, si rahisi kwa Mchungaji kutoa semina elekezi kwa kila kiongozi ndani ya Kanisa. Mara nyingi semina hufanyika kwa ujumla na hazizami ndani kwa sababu mchungaji anakuwa anakimbizana na wingi wa huduma anazopaswa kuzitimiza wakati huohuo akiwa na muda mfupi wa kuyatimiza yote hayo.
App hii imetengenezwa ili kurahisisha Kazi ya Mchungaji lakini pia kuwarahisishia washiriki kuzitambua huduma zinazofanyika ndani ya Kanisa. App hii hailengi kuondoa kabisa semina zinazopaswa kufanywa na mchungaji. Hata hivyo ni vyema kulitambua hili mapema kuwa: mwelekezaji wa mwisho wa kile kinachopaswa kufanywa na uongozi Kanisani ni Mchungaji wa Kanisa. Semina hizi zinapaswa (endapo kuna hoja) kufafanuliwa na mwenye dhamana ya kuliangalia Kanisa.

User reviews
Is not suitable
Pastor Mungu akubariki Sanaa kugundua hili. Unanibarikii sana hata sauti yako tu ni baraka kwangu, tunahitaji wachungaji na Viongozi wenye ujuzi Zaidi ya uchungaji tu kama wewe au zaidi
Powerful, may God bless you Pr
This is an excellent app for church leaders. Job description of every leader in the church at our fingertip. Thank you so much.
Hongera kwa Kazi hii nzuri, App hii itatusaidia sana kuelewa vema majukumu ya uongozi, na kuwa na rejea ya haraka popote pale inapohitajika
Alternatives to Kiongozi Mwadventista
Looking for apps like Kiongozi Mwadventista? Here are 6 similar Android apps on Google Play. All of them are free to download.
-
History of Montenegro
-
Violazioni Rifiuti
-
Ake Festival 2020
-
來課一堂
-
pdf كتاب الداء والدواء
-
Pendidikan Perspektif Islam
| App | Rating | Price | Installs | Last updated | Compare |
|---|---|---|---|---|---|
| Kiongozi Mwadventista | 5.0 / 5 | Free | 500+ | Aug 20, 2022 | |
| History of Montenegro | – | Free | 0+ | Oct 29, 2023 | Compare |
| Violazioni Rifiuti | – | Free | 1,000+ | – | Compare |
| Ake Festival 2020 | – | Free | 100+ | Oct 22, 2020 | Compare |
| 來課一堂 | – | Free | 5,000+ | Sep 7, 2026 | Compare |
| pdf كتاب الداء والدواء | – | Free | 500+ | Oct 2, 2023 | Compare |
| Pendidikan Perspektif Islam | – | Free | 1+ | Nov 2, 2023 | Compare |
Similar apps on Google Play
- History of Montenegro
- Violazioni Rifiuti
- Ake Festival 2020
- 來課一堂
- pdf كتاب الداء والدواء
- Pendidikan Perspektif Islam
- Driver Handbook North Carolina
- History of US Virgin Islands
- واژه یاب حرفه ای
- Bahasa Indonesia 4 Merdeka
- OVO READING
- Masih Adakah Surga Untukku
- storyplayr
- Kho tri thuc la gi
- भूत प्रेतो की रहस्यमयी कहानिया
- نبض ادهم شرقاوي
- History of Russia
- Bhagavad Gita ( भगवद् गीता )
- Kiat-Kiat Produktivitas
- pdf مفاتيح الفرج
- תהלים ממוקד
- رواية فيروز الاسد كاملة
- Dressmann
- History of Chad
- Navi-mig