Back to Top
Mapishi ya Vyakula Mbalimbali Screenshot 0
Mapishi ya Vyakula Mbalimbali Screenshot 1
Mapishi ya Vyakula Mbalimbali Screenshot 2
Mapishi ya Vyakula Mbalimbali Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Mapishi ya Vyakula Mbalimbali

Mapishi ya Vyakula mbalimbali App, ni App bora ya mapishi inayokupa Fursa ya kujifunza aina zote za mapishi ya nyumbani kwa lugha ya kiswahili. Ukiwa na App hii ya Mapishi App, pia utaweza kufahamu mapishi mapya yanayotokea kila siku tanzania pamoja na nchi za nje. Mapishi ya vyakula App imetengenezwa kwa ajili ya mtu yeyote mwenye elimu ya mapishi au asiekua na elimu hata kidogo kumuwezesha kupika chakula kitamu. Mapishi App, pia ina masomo ya vyakula kama mapishi ya Al hidaya, mapishi ya zanzibar, mapishi ya cake n.k
Unatamani kuwa mpishi mzuri - basi tumia App hii ya Mapishi Ya Vykula mbalimbali.

********
Mapishi ya vyakula mbalimbali App, is a African (Tanzania) delicious recipe App that provide step by step on preparing and cooking delicious food for family or business. You don't need to be a professional chef to use this App. The App is made for both beginners and expert chefs.

Similar Apps

Mafundisho Ya Biblia Takatifu

Mafundisho Ya Biblia Takatifu

0.0

Mafundisho ya Biblia, ni App inayokupa msingi wa mafundisho mbalimbali ya...

Simulizi za mapenzi

Simulizi za mapenzi

0.0

Mapenzi ni matamu pindi unapompata anaekupenda kwa dhati. Kupitia App hii ya...

Legal questions and answer

Legal questions and answer

0.0

The App gives free well written notes on legal field, it includes...

Tafsiri ya Ndoto

Tafsiri ya Ndoto

0.0

Fahamu zaidi tafsiri ya ndoto mbalimbali unazoota usiku ukiwa umelala. Zaidi ya...

Utabiri wa mechi

Utabiri wa mechi

0.0

"Utabiri wa mechi" za mpira kila siku! "Bashiri match" zote bure. Ubashiri...

Defend the castle

Defend the castle

0.0

Defend the castle! In this game you have to play a role...

author
Great Chefs
saidy maneno