Back to Top
Lavidavi -Endless Love stories Screenshot 0
Lavidavi -Endless Love stories Screenshot 1
Lavidavi -Endless Love stories Screenshot 2
Lavidavi -Endless Love stories Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Lavidavi -Endless Love stories

Lavidavi ni kipindi kizuri cha mapenzi kinachoendeshwa kupitia redio yako pendwa ya wasafi fm kila siku kuanzia jumatatu hadi ijumaa saa nne kamili usiku na kuendeshwa kikamilifu na mtangazaji wako Divah the Boss. Fuatilia mikasa ya kusisimua, story za mapenzi, maisha, mikimiki katika mahusiano na mambo mengi yatakayokujenga au kujenga mahusiano yako wewe na mweza wako! Furahia Ala za roho, ushauri wa kimahusiano n.k katika hiki chumba cha siri (kijiwe cha mapenzi)

Similar Apps

Mafundisho Ya Biblia Takatifu

Mafundisho Ya Biblia Takatifu

0.0

Mafundisho ya Biblia, ni App inayokupa msingi wa mafundisho mbalimbali ya...

Legal questions and answer

Legal questions and answer

0.0

The App gives free well written notes on legal field, it includes...

Utabiri wa Nyota

Utabiri wa Nyota

0.0

Fatilia utabiri wa nyota kila siku uamkapo. Utabiri huu utakuwezesha kufahamu nini...

Tiba za mitishamba

Tiba za mitishamba

0.0

Tiba za mitishamba ni tiba asili za mimea ambazo hazina athari yoyote...

Join group links

Join group links

0.0

Social group links (Invitation links) - Is an app that provide...

Tiba mimea na Quran

Tiba mimea na Quran

0.0

Mwenyezi Mungu hakushusha ugonjwa pasi na kuwa na dawa, na dawa hizo...