AppPage.net

Screenshots

  • DryCleaner Pro screenshot 1
  • DryCleaner Pro screenshot 2
  • DryCleaner Pro screenshot 3
  • DryCleaner Pro screenshot 4
  • DryCleaner Pro screenshot 5
  • DryCleaner Pro screenshot 6

About DryCleaner Pro

DryCleaner Pro ni programu ya simu kwa wamiliki na wafanyakazi wa laundry na dry cleaning Tanzania.

Kwa DryCleaner Pro unaweza:
• Kufungua na kufuatilia oda za wateja
• Kusimamia orodha ya wateja na namba zao
• Kurekodi malipo na deni
• Kutuma SMS za taarifa na ukumbusho kwa wateja
• Kurekodi matumizi ya biashara
• Kuona ripoti za shughuli za kila siku
• Kuweka bei za nguo
• Kusimamia mpango wa usajili na malipo

Programu inahitaji akaunti. Baada ya kujisajili, unaweza kuingia kwa barua pepe au namba ya simu.

DryCleaner Pro imeundwa kwa ajili ya biashara — si programu ya kuagizia laundry kama mteja wa mwisho.

What’s new

Version 1.0.1 · Updated October 19, 2026

Karibu DryCleaner Pro! Mfumo rahisi wa kusimamia biashara yako ya Laundry na Dry Cleaning. Vipengele: • Sajili na simamia oda za wateja. • Fuatilia hatua za ufuaaji wa nguo. • Hifadhi taarifa na historia ya wateja. • Rekodi malipo na fuatilia madeni. • Tengeneza na chapisha risiti. • Tuma SMS kwa wateja. • Angalia mapato, matumizi na ripoti za biashara. DryCleaner Pro - Wewe Fua, Sisi Tunasimamia!

Alternatives to DryCleaner Pro

Looking for apps like DryCleaner Pro? Here is 1 similar Android app on Google Play.

DryCleaner Pro vs. alternatives
App Rating Price Installs Last updated Compare
DryCleaner Pro – Free 10+ Oct 19, 2026
Duka Daftari – Free 50+ Oct 5, 2026 Compare

Compare DryCleaner Pro with the top alternatives: ratings, updates, ASO score and keyword gaps →

Similar apps on Google Play