AppPage.net

Screenshots

  • Safarify screenshot 1
  • Safarify screenshot 2
  • Safarify screenshot 3
  • Safarify screenshot 4
  • Safarify screenshot 5
  • Safarify screenshot 6

About Safarify

Safarify ni jukwaa lako la kisasa la usafiri, usafirishaji wa vifurushi, na huduma za dharura nchini Tanzania.

Inakuwezesha kuagiza usafiri wa pikipiki au magari kwa urahisi, kufuatilia safari yako kupitia ramani ya GPS, na kuwasiliana moja kwa moja na madereva.

Vipengele Vikuu:
- Uagizaji wa usafiri na usafirishaji wa vifurushi kwa haraka.
- Mfumo wa Wallet ya ndani na malipo salama ya ulimwengu halisi kupitia AzamPay na DPO.
- Kubadilisha kwa urahisi kati ya akaunti ya Abiria na Dereva kupitia tab ya Akaunti.
- Huduma za dharura na usalama kwa abiria.

Pakua Safarify leo na ufurahie usafiri wa kuaminika popote ulipo!

What’s new

Version 1.0.13 · Updated November 9, 2026

• Luxury car sasa unaweza kuiomba kama safari ya kawaida, bei kwa kilomita, papo hapo. • Luxury car inalipwa kamili kutoka pochi — cash haitumiki. • Baada ya kuweka destination, unaona umbali (km), muda wa safari, na saa utakayofika. • Picha ya profile ya dereva inatoka Face Scan: app inapiga picha yenyewe kwa pembe zote za uso. • Face Scan inapiga picha otomatiki (3, 2, 1) — hangoji tena bila kitu. • Onyo la “vichochoro / njia fupi” halionekani tena kwa abiria.

User reviews

Ramadhani Khamisi
Ramadhani Khamisi
good idea
Emily Peter
Emily Peter
hapa kwenye ku request mpaka special hire hapa mmeupiga mwingi wazeee 🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
WAKATI PASCHAL MANGASIN
WAKATI PASCHAL MANGASIN
fantastic 👏