Bantu: Usafiri na Matukio
Mswahili (T) Company Limited Travel iPhoneiPadiPod touch
Bantu: Usafiri na Matukio is a free Travel app for iPhone and iPad by Mswahili (T) Company Limited. Requires iOS 17.0. Updated October 12, 2026.
- Price
- Free
- on the App Store
- Size
- 78 MB
- Age 4+
- Updated
- Oct 12
- 2026 · v1.8.56
Screenshots
About Bantu: Usafiri na Matukio
Pata safari salama na za kuaminika, nunua kutoka kwa biashara za karibu, na tumia huduma muhimu zote katika sehemu moja. Ita unahitaji usafiri, kugundua matukio, kununua bidhaa kutoka kwa wafanyabiashara wa karibu au kupata huduma mbalimbali, Bantu inakusaidia kufanya mambo yako kwa haraka, urahisi na bila usumbufu. Ukiwa na Bantu, Unaweza: Kuagiza Usafiri Pata usafiri kwa urahisi wakati wowote unapouhitaji. Chagua aina ya usafiri inayokufaa, angalia taarifa za safari na ungana na madereva kupitia mfumo rahisi wa kuagiza usafiri. Gundua Matukio Fahamu matukio yanayoendelea karibu nawe, pata taarifa za sherehe, burudani na mikusanyiko mbalimbali, na usipitwe na yanayojiri katika jiji lako. Nunua na Uuze Bidhaa Gundua bidhaa na huduma kutoka kwa wafanyabiashara wa karibu nawe. Tafuta unachohitaji au tangaza bidhaa zako ili kuwafikia wateja zaidi. Pata Huduma za Kila Siku Fikia huduma mbalimbali muhimu kwa urahisi kupitia App moja. Okoa muda na epuka usumbufu wa kutumia programu nyingi tofauti. Pakua Bantu leo na ufurahie njia rahisi zaidi ya kusafiri, kununua, kugundua matukio na kupata huduma za kila siku. Bantu - App Yako ya Kila Siku.
What’s new
Version 1.8.56 · Updated October 12, 2026
Tumeboresha Bantu ili kukupa matumizi ya haraka, rahisi na ya kuaminika zaidi. Maboresho katika toleo hili: - Kasi na utendaji bora wa App. - Uthabiti na urahisi zaidi wa matumizi. - Marekebisho ya hitilafu mbalimbali. Asante kwa kuwa sehemu ya familia ya Bantu! Maoni yako ni muhimu kwetu. Tupe nyota na tathmini yako kwenye Play Store ili tuendelee kuboresha huduma zetu. Bantu - App Yako ya Kila Siku.
App privacy
The developer, Mswahili (T) Company Limited, reported these privacy practices to Apple.
Data Linked to You
The following data, which may be collected and linked to your identity, may be used for the following purposes:
- Contact Info: Email Address, Name, Phone Number, Physical Address
Used for: App Functionality, Other Purposes
Data Not Linked to You
The following data, which may be collected but is not linked to your identity, may be used for the following purposes:
- Location: Precise Location
- User Content: Photos or Videos
Used for: App Functionality, Other Purposes
Alternatives to Bantu: Usafiri na Matukio
Looking for apps like Bantu: Usafiri na Matukio? Here are 6 similar apps on the App Store. The highest rated is Tanapa Go (5.0/5), and all 6 are free to download.
| App | Rating | Price | Last updated | Compare |
|---|---|---|---|---|
| Bantu: Usafiri na Matukio | – | Free | October 12, 2026 | |
| Paisha: Tanzania Taxi App | – | Free | Jul 30, 2026 | Compare |
| Superfeo Express | – | Free | Sep 11, 2026 | Compare |
| Safiri Na Mixx | – | Free | Dec 19, 2025 | Compare |
| Twende | – | Free | Sep 5, 2026 | Compare |
| Tanapa Go | 5.0 / 5 (1) | Free | Apr 18, 2026 | Compare |
| Esther Luxury Coach | – | Free | Dec 22, 2025 | Compare |