AppPage.net

Screenshots

  • TanzMED - Afya Kiganjani screenshot 1
  • TanzMED - Afya Kiganjani screenshot 2
  • TanzMED - Afya Kiganjani screenshot 3
  • TanzMED - Afya Kiganjani screenshot 4

About TanzMED - Afya Kiganjani

TanzMED – Afya Rahisi, Popote Ulipo TanzMED ni jukwaa la kidijitali la afya linalounganisha madaktari, hospitali, maduka ya bidhaa za Afya na urembo, maabara, huduma za afya nyumbani, na zana za afya zinazotumia AI ndani ya programu moja salama. TanzMED imeundwa kwa ajili ya Afrika Mashariki ili kufanya huduma bora za afya zipatikane kwa urahisi, gharama nafuu, na kwa wakati wowote. Afya yako. Programu moja. --> Ushauri wa Daktari Mtandaoni Wasiliana na madaktari na wataalamu wa afya waliothibitishwa kupitia mazungumzo ya video za papo kwa hapo (Instant) au kwa miadi (Appointment). Pata ushauri wa kitaalamu, ufuatiliaji wa afya, na rufaa bila kwenda popote ulipo. :::: Huduma za Afya Nyumbani :::: Weka miadi ya wauguzi, madaktari, au walezi kwa huduma salama na za kitaalamu ukiwa nyumbani au ofisini, ikijumuisha ufuatiliaji wa afya na huduma za matibabu. :::: Afya ya Akili :::: Pata msaada wa afya ya akili kupitia mazungumzo ya siri na wataalamu. Tumia zana na huduma za usaidizi zinazolenga kuboresha ustawi wa kihisia na kisaikolojia. :::: Tathmini ya Afya kwa Kutumia AI :::: Eleza dalili zako na upate tathmini ya awali inayotumia teknolojia ya AI ili kukusaidia kuelewa hali yako na hatua inayofuata ya kuchukua. :::: Afya ya Mama na Mtoto :::: Fuatilia maendeleo ya ujauzito, ratiba za chanjo, ukuaji wa mtoto, na upate ushauri wa wataalamu wa afya ya mama na mtoto. :::: Afya ya Mwanamke :::: Dhibiti mzunguko wa hedhi, uzazi, na afya ya uzazi. Pata msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya ya wanawake kupitia programu. :::: Jamii ya Afya (Kijiwe cha Afya) :::: Uliza maswali ya afya, shiriki katika mijadala, fuatilia mada za wataalamu wa afya, na jifunze kutoka kwa jamii inayojali afya. Ushiriki wa faragha unapatikana pale inapohitajika. :::: Dawa na Vipimo vya Maabara :::: Agiza bidhaa za Afya mtandaoni, weka miadi ya vipimo vya maabara, na pata huduma kutoka kwa maduka ya dawa na maabara zilizo karibu nawe. :::: Elimu na Makala za Afya :::: Soma makala za afya zilizoandikwa na kuthibitishwa na wataalamu, zinazojadili magonjwa ya kawaida, kinga, mtindo bora wa maisha, na ustawi wa afya kwa ujumla. :::: Miadi ya Hospitali na Wataalamu :::: Pata urahisi wa kuweka miadi na hospitali, maabara, na madaktari bingwa kupitia programu ya TanzMED. Imejengwa kwa Uaminifu na Usalama TanzMED imeundwa kwa kuzingatia usalama wa taarifa binafsi, faragha, na urahisi wa matumizi. Programu inapatikana kwa Kiswahili na Kiingereza ili kuwafikia watumiaji wengi zaidi Afrika Mashariki. :::: Kanusho la Kitabibu :::: TanzMED haitoi utambuzi rasmi wa magonjwa na haichukui nafasi ya ushauri au huduma za kitaalamu kutoka kwa mtaalamu wa afya. Kwa dharura za kiafya, tafadhali wasiliana na huduma za afya za karibu mara moja.

Ratings & reviews

4.4

23 ratings

5 ★ 83% 4 ★ 0% 3 ★ 4% 2 ★ 4% 1 ★ 9%

What’s new

Version 7.3.6 · Updated October 3, 2026

Improved Duka workflow, community, health features, and overall app performance. FIXES & IMPROVEMENTS - Homepage UI updates - Compatible with iOS 27 - Hedhi improved, added logics and notifications - Can now request OTP on whatsapp - Lab workflow improved - Kijiwe private groups got new look - Kijiwe new post interface. - Pages cache improved for performance - Improved notifications and messaging. - short url of tanz.med introduced - Improved period interface and reports.

App privacy

The developer, Africa Healthtech Limited, reported these privacy practices to Apple.

Data Linked to You

The following data, which may be collected and linked to your identity, may be used for the following purposes:

  • Financial Info: Other Financial Info
  • Location: Precise Location, Coarse Location
  • Health & Fitness: Health
  • Contact Info: Physical Address, Email Address, Name, Phone Number
  • User Content: Other User Content, Emails or Text Messages, Photos or Videos
  • Sensitive Info: Sensitive Info

Used for: Analytics, Product Personalization, App Functionality, Other Purposes

Data Not Linked to You

The following data, which may be collected but is not linked to your identity, may be used for the following purposes:

  • Purchases: Purchase History
  • Search History: Search History
  • Identifiers: User ID
  • Diagnostics: Crash Data

Used for: Analytics, Product Personalization, App Functionality

Alternatives to TanzMED - Afya Kiganjani

Looking for apps like TanzMED - Afya Kiganjani? Here are 6 similar apps on the App Store. The highest rated is Afyachap (5.0/5), and all 6 are free to download.

TanzMED - Afya Kiganjani vs. alternatives
App Rating Price Last updated Compare
TanzMED - Afya Kiganjani 4.4 / 5 (23 ratings) Free October 3, 2026
Afyachap 5.0 / 5 (1) Free Sep 21, 2026 Compare
Health.IQ 5.0 / 5 (4) Free Oct 8, 2025 Compare
Ada - your health portal 4.8 / 5 (11,331) Free Sep 8, 2026 Compare
Period Tracker-Pregnancy・Femin 4.7 / 5 (1,533) Free May 6, 2026 Compare
My Period Calendar 4.7 / 5 (4,802) Free Jun 25, 2026 Compare
Pregnancy Test Checker 4.6 / 5 (7,359) Free Sep 17, 2026 Compare

Compare TanzMED - Afya Kiganjani with the top alternatives: ratings, updates, ASO score and keyword gaps →