AppPage.net

Screenshots

  • Msahafu wa Kiswahili السواحيلي screenshot 1
  • Msahafu wa Kiswahili السواحيلي screenshot 2
  • Msahafu wa Kiswahili السواحيلي screenshot 3
  • Msahafu wa Kiswahili السواحيلي screenshot 4

About Msahafu wa Kiswahili السواحيلي

Unaweza kupakua Programu na kuvinjari Qur'ani Tukufu pamoja na tafsiri (Hapa jina la lugha) kwa njia rahisi na nyepesi zaidi na kwa ubunifu mzuri wa kuvutia, uliobuniwa na wachoraji mahiri wa mapambo ya Qur'ani katika ulimwengu kwa muonekano wa kuvutia. ***Vipengele vya Apilikesheni*** - Wepesi wa kutumia ukurasa na imerahisishwa kwa kiwango cha hali ya juu. - Utafutaji wa haraka zaidi, utafutaji katika aya za Qur'ani na katika majina ya sura na Juzuu. - Kusoma Qur'ani, furahia kisomo cha Qur'ani Tukufu kutoka katika nakala iliyohakikiwa, iliyobuniwa kwa ubunifu mzuri na wa kuvutia. - Tafsiri ya maana ya maneno ya Qur'ani Tukufu, ifahamu Qur'ani Tukufu kwa lugha yako kupitia tafsiri ya maana yake katika lugha ya Kiswahili - Lugha mbali mbali, vinjari programu kwa lugha yako au kwa lugha unayopenda kuitumia katika Msahafu. - Visomo, Kusikiliza kisomo cha Qur'ani Tukufu kwa sauti za wasomaji mashuhuri na wenye visomo vitamu. - Kicheza sauti cha hali ya juu: Opereta inakupa uwezo wa hali ya juu, mfano kurudia rudia kwa ajili ya kukusaidia kuhifadhi Qur'ani Tukufu. - Vituo: Kuongeza alama za marejeo na kuziongoza, kwa ajili ya wepesi wa kurejea katika sehemu za kusimama katika aya maalum. - Vipendwa: Kuongeza idadi yoyote ya aya katika vipendwa, kwa ajili ya wepesi wa kuzirejea baadaye. - Kuongeza maoni: Kuongeza maoni na mazingatio wakati wa kusoma Qur'ani, au kusoma tafsiri ya maana yake. - Kushiriki: Kushiriki aya au maana yake kwa marafiki zako kupitia Apilikesheni na mitandao ya kijamii. - Ubunifu wa kipekee: Imekamilika kuchagua rangi na mapambo ya kuvutia macho, na ubunifu wa kisasa ulionukuliwa kutoka katika tamaduni za wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili Designed and Developed by: https://smartech.online

What’s new

Version 1.0.1 · Updated April 8, 2023

Bug fixes

App privacy

The developer, MP3Quran, reported these privacy practices to Apple.

Data Not Linked to You

The following data, which may be collected but is not linked to your identity, may be used for the following purposes:

  • Diagnostics: Crash Data, Other Diagnostic Data

Used for: Analytics

Alternatives to Msahafu wa Kiswahili السواحيلي

Looking for apps like Msahafu wa Kiswahili السواحيلي? Here are 6 similar apps on the App Store. The highest rated is Quranic: Quran Arabic Learning (4.9/5), and all 6 are free to download.

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي vs. alternatives
App Rating Price Last updated Compare
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي – Free April 8, 2023
English Swahili Translator + 4.5 / 5 (106) Free Aug 18, 2026 Compare
Swahili English translator 4.1 / 5 (60) Free Aug 9, 2026 Compare
The Quran : القران الكريم 4.4 / 5 (73) Free Nov 22, 2023 Compare
Daily Quran - Muslim Prayer 4.8 / 5 (175) Free Jul 31, 2026 Compare
Muslim: Quran Quotes 4.8 / 5 (1,290) Free Jun 19, 2026 Compare
Quranic: Quran Arabic Learning 4.9 / 5 (4,183) Free Sep 29, 2026 Compare

Compare Msahafu wa Kiswahili السواحيلي with the top alternatives: ratings, updates, ASO score and keyword gaps →