Mtu na Mti - Green Challenge
Ezra Manjerenga Social
Panda mti, boresha mazingira ya nchi yako. Fuatilia miti yako na shindana.
- Downloads
- 24+
- on Google Play
- Price
- Free
- No in-app purchases
- Updated
- Oct 25
- 2026 · v1.0.4
Screenshots
About Mtu na Mti - Green Challenge
Mtu na Mti ni jukwaa la kidijitali linalohamasisha upandaji na utunzaji wa miti nchini (Green Innovation Challenge).
Programu hii inawawezesha wananchi, taasisi, na mashirika kushiriki moja kwa moja katika kutunza mazingira na kupambana na ukame.
Sifa Kuu:
• Upandaji wa Miti: Rekodi kila mti unaopanda kwa kupiga picha na kuweka alama ya GPS ya mahali ulipo.
• Ramani ya Kijani: Fuatilia maeneo yenye miti iliyopandwa kwa mtaa, kata, na manispaa.
• Shindano la Kijani (Leaderboard): Shindana na washiriki wengine na uone mchango wako kwenye viwango vya upandaji miti.
• Elimu na Mbinu: Pata miongozo sahihi ya jinsi ya kulea na kutunza miti ili ikue kwa ufanisi.
• Taarifa za Uhakika: Pata matangazo na taarifa rasmi kuhusu kampeni za mazingira.
Jiunge sasa, boresha mazingira yetu: Mtu mmoja, mti mmoja!

What’s new
Version 1.0.4 · Updated October 25, 2026
Fix tree map location
Alternatives to Mtu na Mti - Green Challenge
Looking for apps like Mtu na Mti - Green Challenge? Here are 6 similar Android apps on Google Play. All of them are free to download.
-
Social Matrix: Confessions
-
PartageMania
-
Klapday: vlog with friends
-
PrayOne: Prayer & Community
-
Afrovibe
-
NearByes
| App | Rating | Price | Installs | Last updated | Compare |
|---|---|---|---|---|---|
| Mtu na Mti - Green Challenge | – | Free | 10+ | Oct 25, 2026 | |
| Social Matrix: Confessions | – | Free | 0+ | Oct 18, 2026 | Compare |
| PartageMania | – | Free | 10+ | Jun 18, 2026 | Compare |
| Klapday: vlog with friends | – | Free | 10+ | Oct 10, 2026 | Compare |
| PrayOne: Prayer & Community | – | Free | 1,000+ | Oct 11, 2026 | Compare |
| Afrovibe | – | Free | 100+ | Jul 7, 2026 | Compare |
| NearByes | – | Free | 1,000+ | Oct 26, 2024 | Compare |
Similar apps on Google Play
- Social Matrix: Confessions
- PartageMania
- Klapday: vlog with friends
- PrayOne: Prayer & Community
- Afrovibe
- NearByes
- AI Symposium
- One My Day
- shore
- Neighbors Table
- UNDERGROUND
- Lodge Center – Lodge Manager
- Tolo
- Pokyo Pets
- Lovele: Private Chat & Earn
- Ijtimoiy Murojaat
- Animora: Pets & Community
- MapChat Social: Make Friends
- KZIIK
- ANON2ME: Sohbet, Flört & Tanış
- EVONEWS
- Bharatchat Messenger,Calls,Fun
- StarryPocket
- Amature
- Saysy