AppPage.net

Screenshots

  • Sheria Kiganjani screenshot 1
  • Sheria Kiganjani screenshot 2
  • Sheria Kiganjani screenshot 3
  • Sheria Kiganjani screenshot 4
  • Sheria Kiganjani screenshot 5
  • Sheria Kiganjani screenshot 6
  • Sheria Kiganjani screenshot 7
  • Sheria Kiganjani screenshot 8

About Sheria Kiganjani

SHERIA KIGANJANI ni mradi uliobuniwa kwa pamoja na wanasheria na wataalamu wa teknolojia ya habari na mawasiliano kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa msaada wa kisheria kwa watu wote, wakati wote na kwa gharama nafuu
Kupitia mradi huu kila Mtanzania atakuwa na fursa sawa ya kupata maarifa ya kisheria kulingana na mahitaji yake
Faida za mradi huu ni pamoja na kupunguza mrundikano wa mashauri katika mahakama, kutoa fursa kwa wananchi kuzungumza na wanasheria wakati wowote kadiri ya mahitaji na changamoto zao, na pia kuwezesha wananchi kutambua haki na wajibu wao kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.
Huduma ya SHERIA KIGANJANI itapatikana wakati wote. Huduma hii itatolewa kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu (sms), mazungumzo mubashara kwa njia ya simu baina ya wanasheria na wateja wetu, makala na uchambuzi wa kisheria kuhusu masuala mbali mbali ya kijamii, nk.
Mteja pia atakuwa na uwezo wa kusoma hukumu mbalimbali zilizotolewa na Mahakama za ndani na nje ya nchi ili kujiongezea ujuzi, kupata kwa urahisi nyaraka mbalimbali za kisheria ili kukidhi mahitaji yake na pia kuunganishwa na mawakili waliomo katika eneo analoishi. Huduma itapatikana pia kwa njia ya sauti.
SHERIA KIGANJANI inaleta mapinduzi katika namna ya utoaji wa huduma za kisheria nchini kutokana na hatua kubwa iliyofikiwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano.

User reviews

John Heal
John Heal
ok
Tinkasimile Mwema
Tinkasimile Mwema
Asanteni sana
Telesphore Madukulu
Telesphore Madukulu
Great
Herbert Temba
Herbert Temba
Totally amazing
Leiyo Magairo
Leiyo Magairo
Very nice amazing I like this Helpful.
Loyce Felix
Loyce Felix
Great amazing App........ But when I click part for Latin maxims It doesn't open up..... So an advice to you (responsible people), kindly look for the solution on this... Thank you.

Alternatives to Sheria Kiganjani

Looking for apps like Sheria Kiganjani? Here are 3 similar Android apps on Google Play. All of them are free to download.

Sheria Kiganjani vs. alternatives
App Rating Price Installs Last updated Compare
Sheria Kiganjani – Free 50,000+ Aug 26, 2026
Sauti Ya Mjane – Free 10+ Oct 1, 2021 Compare
Summit Point – Free 5,000+ – Compare
Afya Time – Free 100+ Jul 23, 2019 Compare

Compare Sheria Kiganjani with the top alternatives: ratings, updates, ASO score and keyword gaps →

Similar apps on Google Play