About SMS Za Mapenzi
Pata Simulizi za mapenzi Kiswahili. Utapata sms tamu za kutumia mpenzi wako kwenye app hii. Ukitaka kumtongoza msichana yeyote mrembo, tumia sms moto kwenye app hii kumhadaa. Utaweza kumpendeza mpenzi wako kwa maneno matamu ya kumtoa nyoka pangoni.
Tumia jukumu huu kupata meseji zenye utani mkali za kumchekesha mpenzi wako. Tumia sms hizi kila wakati unapomwandikia mpenzi wako ujumbe mfupi. Utaongeza ladha kwenye ujumbe wako kwa kutumia sms hizi moto zenye maneno matamu sana za mapenzi.
Thank You..
Similar Apps
Vichekesho vya Kiswahili
Pata vichekesho kali kwanye app hii. Furahia maisha pamoja na marafiki zako...
Good News Bible 2023
Get Good News Bible Offline today. Enjoy reading the bible in the...
Life Quotes & Inspirations
Life quotes and lessons gives you the best inspiration and motivation you...
Online Writing Jobs Guide
Start your freelance career today. Do you love writing posts, articles, status,...