AppPage.net

Screenshots

  • Nishati Safi screenshot 1
  • Nishati Safi screenshot 2
  • Nishati Safi screenshot 3
  • Nishati Safi screenshot 4
  • Nishati Safi screenshot 5

About Nishati Safi

Nishati Safi hurahisisha upatikanaji wa gesi safi ya kupikia (LPG) nchini
Tanzania. Programu hii inakusaidia kupata mawakala na wasambazaji
walioidhinishwa, kuhakiki huduma kwa QR Code, na kupata habari za hivi
karibuni kuhusu gesi ya LPG.

VIPENGELE VYA PROGRAMU
- Pata mawakala wa gesi waliosajiliwa karibu nawe
- Ona orodha ya wasambazaji wa LPG walioidhinishwa na EWURA
- Pata habari na matangazo kuhusu gesi safi ya kupikia
- Hakiki huduma kwa kutumia QR Code

CHANZO CHA TAARIFA
Taarifa za leseni za wasambazaji na udhibiti wa LPG zinatokana na Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), mamlaka ya serikali inayotoa
leseni kwa watoa huduma wa gesi ya LPG nchini Tanzania:
https://www.ewura.go.tz

KANUSHO
Nishati Safi imetengenezwa na Torque Tech Limited. Programu hii SI programu
rasmi ya serikali na haiwakilishi EWURA, Wizara ya Nishati, wala taasisi
yoyote ya serikali. Taarifa rasmi zithibitishwe kupitia https://www.ewura.go.tz

Alternatives to Nishati Safi

Looking for apps like Nishati Safi? Here are 4 similar Android apps on Google Play. All of them are free to download.

Nishati Safi vs. alternatives
App Rating Price Installs Last updated
Nishati Safi – Free 5+ Sep 21, 2026
Gas Monitoring System – Free 1+ Aug 31, 2026
eMic – Free 5+ Aug 10, 2026
CarCare – Free 50+ Sep 16, 2026
Kakakuona Oxygen – Free 100+ –

Similar apps on Google Play