Back to Top
Nyimbo za Tenzi za Rohoni Screenshot 0
Nyimbo za Tenzi za Rohoni Screenshot 1
Nyimbo za Tenzi za Rohoni Screenshot 2
Nyimbo za Tenzi za Rohoni Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Nyimbo za Tenzi za Rohoni

Kaa karibu na uwepo wa Mungu kwa kusifu na kuabudu kupitia nyimbo zilizopo katika kitabu cha Tenzi za rohoni kupitia app hii.

Tenzi za Rohoni ni App ambayo ni rasilimali muhimu kwa waumini wa Kikristo wanaotumia lugha ya Kiswahili, ikirahisisha upatikanaji wa nyimbo za injili mahali popote na wakati wowote.

"Tenzi za Rohoni" ni programu ya simu ambayo imeundwa kwa lengo la kusaidia watu kusoma na kushiriki nyimbo za Kikristo za Kiswahili, maarufu kama "tenzi." App hii inakuja na maktaba kubwa ya nyimbo 161 za injili ambazo zinaweza kusikilizwa au kusomwa kwa kusudi la ibada, mafundisho, au kuabudu.

Karibu uabudu nasi kupitia programu ya Tenzi za rohoni kila wakati hata bila kuwa na Mb , ipakua sasa ili uanze kuitumia pia usisahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki waipakue.

Similar Apps

Somalian Wararka - Somali News

Somalian Wararka - Somali News

Introducing the Somali News App, your ultimate source for the latest news,...

Tchad Actualités

Tchad Actualités

Application Tchad Actualités : Restez informé, restez connectéTchad Actualités App est votre...

Simulizi Tamu kila siku

Simulizi Tamu kila siku

Simulizi tamu za kusisimua ni App pekee inayokuletea hadithi za kusisimua na...

Zambian Music - Zed Hits

Zambian Music - Zed Hits

Get ready to immerse yourself in the rich tapestry of Zambian music...

Niger Actualités et infos

Niger Actualités et infos

L'application d'actualités du Niger est une application de contenu entièrement personnalisée qui...

Mali Actualités et infos

Mali Actualités et infos

Restez au courant de toutes les dernières nouvelles et mises à jour...