Nyimbo Za Injili
App ya nyimbo za Injili kwa ajili ya ibada,misa, na kukukuza kiimani na kiroho.
About Nyimbo Za Injili
Karibu kwenye app ya nyimbo za injili, App hii inakupa mkusanyiko wa nyimbo za Injili kwa ajili ya ibada,misa, maombi, na kuinua na kukuza kiroho.
Kupitia app hii, utaweza kufurahia nyimbo mbalimbali za kumsifu na kumwabudu Mungu kutoka kwa wasanii mbalimbali wa nyimbo za Injili. pamoja na nyimbo kutoka katika vitabu vitakatifu vya sala na maombi
Pakua app ya nyimbo za injili/Dini sasa na uanze kusikiliza nyimbo za Injili leo.
Similar Apps
Zambian Music - All Zed Beats
Welcome to Zambian Music , your ultimate destination for exploring the rich...
Tenzi za Rohoni Nyimbo 161
Nyimbo zote za Tenzi za rohoni zinapatikana kwenye App hii.Huna haja tena...
Mafanikio App
💥App hii, Itakusadia sana kwa namna moja ama nyingine kuweza kujua mbinu...