Kisa cha Nabii Suleiman - Listen to the story of King Solomon according to Islam
Kisa cha Nabii Suleiman - Listen to the story of King Solomon according to Islam.
Sulaiman(a.s)alikuwa mtoto wa Nabii Daudi(a.s) na pamoja na kuwa Mtume alirithi pia kiti cha ufalme wa baba yake. Ufalme wake ulidumu kati ya mwaka 965 B.C. hadi 926 B.C. Ufalme wake ulienea Palestina ya leo, Transjordan na baadhi ya eneo la Syria. Qur'an inamtaja Sulaiman kuwa mrithi wa Nabii Daudi(a.s)
Usikose visa vingine kama Kisa cha Nabii Muhammad, kisa cha nabii Musa, Nabii Yusufu, Adam na wengineo
***********
King Solomon (peace be upon him) was the son of Prophet David (peace be upon him), and alongside being a Prophet, he also inherited his father's throne. His reign lasted from 965 B.C. to 926 B.C. His kingdom extended across what is now Palestine, Transjordan, and parts of Syria. The Qur'an mentions Solomon as the successor of Prophet David (peace be upon him).
Download and test any profficient apps and games.Do you want the latest...
The App gives free well written notes on legal field, it includes...
Kupitia app hii utaweza kufurahia simulizi za kusisimua zilizobeba ujumbe wa kuelimisha...
App hii ya hadithi za kiswahili ni mkusanyiko wa hadithi za kale...
Quran tukufu na tafsiri yake : Listen to beautiful Quran recitation by...
Ndoto na tafsiri zake : Fahamu zaidi tafsiri ya ndoto mbalimbali unazoota...
Created with AppPage.net
Similar Apps - visible in preview.