Back to Top
Tenzi Za Rohoni-Toleo jipya Screenshot 0
Tenzi Za Rohoni-Toleo jipya Screenshot 1
Tenzi Za Rohoni-Toleo jipya Screenshot 2
Tenzi Za Rohoni-Toleo jipya Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Tenzi Za Rohoni-Toleo jipya

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.


• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Bulenga Diva na Godfrey Diva kwa
utukufu wa Mungu.

Similar Apps

Swahili-Eng - Biblia Takatifu

Swahili-Eng - Biblia Takatifu

0.0

Swahili-English Bible (Biblia Takatifu) inakuwezesha kusoma neno la Mungu kwa urahisi mahali...

Nyimbo Za Kristo

Nyimbo Za Kristo

0.0

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika...

Holy Bible

Holy Bible

4.4

Holy Bible is the application that enables you to read a word...

author
Such a nice app, with beatiful user interface thank you developer.
Dynes Anyimike
author
The best app,I love it;thank for open this app. 😍🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽BLESSED🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽😍
Joseph N Lazaro