Back to Top
OnTheList Tanzania Screenshot 0
OnTheList Tanzania Screenshot 1
OnTheList Tanzania Screenshot 2
OnTheList Tanzania Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About OnTheList Tanzania

ONTHELIST TANZANIA

OnTheList ni applikesheni ambayo inasaidia upatikanaji wa nyumba za kupanga na kuuza, Viwanja, ramani za nyumba. Pamoja na mikopo ya nyumba. Pia Ndani ya OnTheList kuna wataalamu wa makazi, ujenzi, uchoraji wa ramani za nyumba na mafundi ili kutoa ufafanuzi, kujibu maswali Pamoja na kutoa elimu.

MATATIZO TUNAYOYATATUA
Upatikanaji wa nyumba za kupanga haijawahi kuwa rahisi, fikiria wewe ni mgeni umekuja dar kwa mara ya kwanza na unataka nyumba ya kupanga. Kitu cha kwanza lazima utamtafuta ndugu au Rafiki akuunganishe na dalali. Baada ya kumapata dalali zoezi linaanza kuangalia nyumba ambazo anakuonyesha dalali . unaweza kuchukua nyumba yeyote yenye uafathari kikubwa uepuke huu usumbufu. Mfumo huu pia unatumika kwenye kupata nyumba za kununua na viwanja.

Ni mara ngapi unanunu ramani ya nyumba na kukosa msaada wakati wa ujenzi wa hiyo nyumba yako. Ni vigumu sana kumpata mtaalamu wa aridhi, makazi, viwanja nk akakusaidia kujibu yale maswali usiyoyajua au kukupa elimu jinsi ya kufanya nyumba au ujenzi wako uwe bora Zaidi na kwa gharama ndogo.

KWANINI UTUMIE ONTHELIST

UTAPATA NYUMBA YA KUPANGA AU KUNUNUA KWA UHARAKA.
Epuka kuzunguka siku nzima kwa kutafuta nyumba ya kuishi, kwa kutumia app yetu unaweza kutumia dakika 5 tu kupata nyumba yako bila kutozwa pesa ya udalali. Kama hujapata nyumba katika zile zilizoorodheshwa basi weka tangazo lako kuwa unatafuta nyumba na madalali au wamiliki wa nyumba watakujibu.

UPATIKANAJI WA VWANJA NA MIRADI YA ARIDHI
Kabla hujaenda kuona kiwanja OnTheList inakusaidia kujua eneo kiwanja kilipo kwa kuona kwenye ramani, kujua mazingira yalivokaa kupitia ramani pia kujua umbali na njia katika upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile Barabara, maji, Soko, Shule nk. Lengo ni kukufanya uone mazingira kabla hata hujafika site.

UPATIKANAJI WA RAMANI ZA NYUMBA NA MAFUNDI
Unaweza kuchagua ramani ya nyumba unayoipenda au kuomba ramani yako itengenezwe kama upendavyo.watu wengine wanaweza kuto ushauri na maoni kuhusu ramani husika. Pia kwa kuwasiliana nasi unaweza kupata mafundi ili wakusaidie katika ujenzi wa hiyo ramani yako.

UTAJIFUNZA NA KUULIZA CHOCHOTE
Ndani ya OnTheList kuna wataalamu wa makazi, ujenzi, uchoraji ramani za nyumba na uwekezaji wa majengo na aridhi. Mtu yeyote anaweza kuuliza swali na kujibiwa na watu mbalimbali. Kila mtu anaweza kutoa mawazo yake kwa uhuru. Lengo ni kujifunza na kuongeza uelewa.

Ili kuhakikisha hayo yote yanafanyika Timu ya OnThelist Imetengeneza applikesheni rahisi kutumia ikiwa na vitu kama ramani ambapo mtumiaji anaweza kuchagua nyumba kwa kuona kwenye ramani. Pia mtumiaji anaweza kuchuja nyumba kwa kuchora eneo ambalo anataka nyumba za hilo eneo tu.
Kama unaushauri, au swali usisite kututafuta kupitia email yetu [email protected]

Similar Apps

Verenda: Buy, sell real estate

Verenda: Buy, sell real estate

0.0

የቨረንዳ መተግበሪያን አውርደው ቤቶን በፍጥነት ይሽጡ፣ ያከራዩ። በሺዎች የሚቆጠሩ የቤት አማራጮችን በአንድ...

Tripinsurance:travel insurance

Tripinsurance:travel insurance

3.9

Tripinsurance is the best online travel insurance service offering top notch assistance,...

My BBA App

My BBA App

0.0

Join the Black Business Alliance and gain access to the My BBA...

author
Nimependa sehemu ya ramani aise maana inakuwa ni rahisi zaidi kutafuta nyumba. lakini jaribuni kuweka nyumba kila mara
TUMIKIA KISAVANGA