Nyota Zetu
Adlex Ventures Lifestyle In-app purchases
Nyota Zetu app inakusaidia kuelewa nyota yako na jinsi ya kitumia kufanikiwa
- Downloads
- 1.2K+
- on Google Play
- Price
- Free
- In-app purchases
- Updated
- Aug 19
- 2026 · v1.0.0
Screenshots
About Nyota Zetu
Nyota Zetu ni app ya Kiswahili iliyotengenezwa kukusaidia kuelewa nyota yako, tabia, karama zake na jinsi unayoweza kutumia kufanikiwa kimaisha.
Kupitia Nyota Zetu, utaweza kusoma utabiri wa kila siku, wiki, mwezi na mwaka kulingana na nyota yako. App hii inakupa mwongozo kuhusu mahusiano, kazi, fedha, fursa, changamoto na nyakati muhimu za kinyota ambazo zinaweza kukuathiri.
Pia, Nyota Zetu inakusaidia kufuatilia matukio makubwa ya kinyota kama mwezi mpevu, mwezi mchanga, na mabadiliko mengine ya sayari ambayo yanaweza kukuletea bahati au changamoto katika sehemu mbalimbali za maisha.
Lengo letu ni kufanya unajimu uwe karibu na watu zaidi kwa maelezo yanayokusaidia kujiuliza maswali sahihi, kutambua fursa, kujipanga vizuri na kuelewa mwenendo wa nyota yako.
Ndani ya app utaweza kupata:
Utabiri wa kila siku kwa kila nyota
Maelezo ya kina kuhusu nyota yako
Matukio muhimu ya kinyota na maana yake kwako
Mwongozo wa jinsi ya kutumia nguvu za nyota kwa faida yako
Utabiri wa mwezi na mwaka kwa mwelekeo mpana zaidi
Nyota Zetu ni kwa ajili ya mtu yeyote anayependa kujielewa zaidi, kufuatilia mwenendo wa nyota, na kupata mwongozo wa kinyota unaozungumza naye moja kwa moja.
Chagua nyota yako, soma ujumbe wako, na anza kuelewa namna nyota zinavyoweza kukusaida kila siku.

Alternatives to Nyota Zetu
Looking for apps like Nyota Zetu? Here are 6 similar Android apps on Google Play. All of them are free to download.
-
Expense Tracker: Budget Money
-
Prayer Times: Qibla & Tasbih
-
M4CHURCH
-
Soltar: diario y ciclo lunar
-
Yaagi
-
Rabbani: Dhikr, Ramadan, Quran
| App | Rating | Price | Installs | Last updated | Compare |
|---|---|---|---|---|---|
| Nyota Zetu | – | Free | 1,000+ | Aug 19, 2026 | |
| Expense Tracker: Budget Money | – | Free | 10+ | Aug 19, 2026 | Compare |
| Prayer Times: Qibla & Tasbih | – | Free | 500+ | Nov 30, 2025 | Compare |
| M4CHURCH | – | Free | 10+ | Sep 15, 2026 | Compare |
| Soltar: diario y ciclo lunar | – | Free | 10+ | Sep 15, 2026 | Compare |
| Yaagi | – | Free | 10+ | Aug 27, 2026 | Compare |
| Rabbani: Dhikr, Ramadan, Quran | – | Free | 0+ | Sep 7, 2026 | Compare |
Compare Nyota Zetu with the top alternatives: ratings, updates, ASO score and keyword gaps →
Similar apps on Google Play
- Expense Tracker: Budget Money
- Prayer Times: Qibla & Tasbih
- M4CHURCH
- Soltar: diario y ciclo lunar
- Yaagi
- Rabbani: Dhikr, Ramadan, Quran
- ClosetCue
- St Paul's Minonk
- Saponaria: Soap Journal
- Planner Day
- CodiCheck: AI Styling 4 Nerds
- Appalachian Church
- Safestay
- Sermon Recorder and Notes
- Sealed: Future Letters
- Reflections By Rowdy
- Barilgachin
- 재림교회 찬미가
- Face to Face Spa
- Voicealerts
- GiftHintz
- PetLovely
- 町田モータース公式アプリ
- Vestis AI
- onmyway