Back to Top
History of Tanzania Screenshot 0
History of Tanzania Screenshot 1
History of Tanzania Screenshot 2
History of Tanzania Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About History of Tanzania

(Kiswahili)

Tanzania (jina rasmi: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi iliyoko Afrika ya Mashariki ndani ya ukanda wa maziwa makuu ya Afrika. Imepakana na Uganda na Kenya upande wa kaskazini, Bahari Hindi upande wa mashariki, Msumbiji, Malawi na Zambia upande wa kusini, Kongo, Burundi na Rwanda upande wa magharibi.

Eneo lina kilometa za mraba 947,303 (nchi ya 31 duniani); maji ya ndani yanachukua asilimia 6.2. Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu zaidi barani Afrika, upo kaskazini-mashariki mwa Tanzania.

Idadi ya watu kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 ilikuwa 61,741,120 (nchi ya 24 duniani) kutoka 44,928,923 waliohesabiwa katika sensa ya mwaka 2012, likiwa ongezeko la 3.2% kwa mwaka.

Msongamano ni wa watu 47.5 kwa km² (nchi ya 124 duniani).

Mji mkuu ni Dodoma (wenye wakazi 410,956), lakini Dar es Salaam ndilo jiji kubwa zaidi, lenye watu 4,364,541.

Miji mingine ni kama vile Mwanza (706,543), Arusha (416,442), Mbeya (385,279), Morogoro (315,866), Tanga (273,332), Kahama (242,208), Tabora (226,999) na Zanzibar (223,033).

(English)

The modern-day African Great Lakes state of Tanzania dates formally from 1964, when it was formed out of the union of the much larger mainland territory of Tanganyika and the coastal archipelago of Zanzibar. The former was a colony and part of German East Africa from the 1880s to 1919s when, under the League of Nations, it became a British mandate. It served as a British military outpost during World War II, providing financial help, munitions, and soldiers. In 1947, Tanganyika became a United Nations Trust Territory under British administration, a status it kept until its independence in 1961. The island of Zanzibar thrived as a trading hub, successively controlled by the Portuguese, the Sultanate of Oman, and then as a British protectorate by the end of the nineteenth century.

Julius Nyerere, independence leader and "baba wa taifa" (father of the nation) for Tanganyika, ruled the country for decades, while Abeid Amaan Karume, governed Zanzibar as its president and Vice President of the United Republic of Tanzania. Following Nyerere's retirement in 1985, various political and economic reforms began. He was succeeded in office by President Ali Hassan Mwinyi.

Similar Apps

Adolf Hitler - Biography

Adolf Hitler - Biography

0.0

Adolf Hitler (20 April 1889 – 30 April 1945) was an Austrian-born...

History of Liberia

History of Liberia

0.0

Liberia is a country in West Africa founded by free people of...

Jewish history

Jewish history

0.0

(English )Jewish history is the history of the Jews, and their nation,...

Oromo History - Seenaa Oromoo

Oromo History - Seenaa Oromoo

0.0

(Oromoo)Ka'umsi Oromoo eessaa akka ta'e sirriitti hubachuuf qorannoon dabalataa barbaachisuyyuu, Oromoon jalqabarratti...

History of Ethiopia/የኢትዮጵያ ታሪክ

History of Ethiopia/የኢትዮጵያ ታሪክ

0.0

(English)Ethiopia is one of the oldest countries in Africa; the emergence of...

History of Zimbabwe

History of Zimbabwe

0.0

Until roughly 2,000 years ago, what would become Zimbabwe was populated by...