This is the history of the Apostles and Prophets and their miracles.
Hapa utakwenda kujifunza historia za Mitume 25 waliotajwa kwenye Quran. Utakwenda kujifunza maeneo walio ishi, shughuli walizokuwa wakifanya pamoja na mbinu walizozitumia katika kulingania dini.
Utajifunza pia taabu zilizowapata katika kulingania dini. Utakwenda kujuwa miujiza waliowahi kuionyesha kwa idhini ya Allah.
Kitabu cha Tawhidi kwa lugha ya kiswahili, katika mfululizo wa program yetu...
Utaweza kujifunza kuhusu mafunzo ya tehama na teknolojia nyingine kama kutengeneza graphics,...
Zijuwe chamsha bobgo ili uweze kuimarisha akili yako. Chemsha bongo zitafanya akili...
Huu ni mkusanyiko wa Hadithi ambazo kwa pamoja zimewekwa katika vitabu vitatu....
Hapa utakwenda kujifunza historia za Mitume 25 waliotajwa kwenye Quran. Utakwenda kujifunza...
Hapa utajifunza kuhusu ibada za kiislamu na utekelezaji wake. Utaweza kujifunza vipengele...
Created with AppPage.net
Similar Apps - visible in preview.