Back to Top
Darsa za fiqh kwa kiswahili Screenshot 0
Darsa za fiqh kwa kiswahili Screenshot 1
Darsa za fiqh kwa kiswahili Screenshot 2
Darsa za fiqh kwa kiswahili Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Darsa za fiqh kwa kiswahili

Hapa utajifunza kuhusu ibada za kiislamu na utekelezaji wake. Utaweza kujifunza vipengele kama:-
1. Masharti ya Ibada
2. Nguzo za ibada
3. Mambo yanayobatilisha
4. Fadhila zake

Hivyo katika mfululizo huu, tutakwenda kujifunza masomo yafuatayo:-
1. Ibada ya Swala na aina zake. Tutakwenda kuziona swala za sunnah, aina zake na faida zake.

2. Ibada ya funga pia inajulikana kama swaumu. Tutakwenda utekelezaji wa ibada hii, watu wanaopasa kufunga, na faida za kufunga.

3. Twahara na jinsi ya kujitwaharisha. hapa utajifunza kuhusu najisi na aina zake. Pia utajifunza kuhusu udhu, janaba, hedhi na nifasi. Zaidi utajifunza jinsi ya kujitwaharisha.

Masomo mengine ni pamoja na:-
1. Ndoa katika uisla
2. Utaratibu wa kufanya biashara
3. Taratibu za kuacha mke
4. taratibu za kugawa mirathi
5. Ibada ya Hija
6. Ibada ya zaka

Similar Apps

Kitabu cha Tawhid kwa kiswahil

Kitabu cha Tawhid kwa kiswahil

0.0

Kitabu cha Tawhidi kwa lugha ya kiswahili, katika mfululizo wa program yetu...

COSTEIJEN TECHNOLOGY

COSTEIJEN TECHNOLOGY

0.0

Utaweza kujifunza kuhusu mafunzo ya tehama na teknolojia nyingine kama kutengeneza graphics,...

Chemsha bongo

Chemsha bongo

0.0

Zijuwe chamsha bobgo ili uweze kuimarisha akili yako. Chemsha bongo zitafanya akili...

Masimulizi ya Alif lela u lela

Masimulizi ya Alif lela u lela

0.0

Huu ni mkusanyiko wa Hadithi ambazo kwa pamoja zimewekwa katika vitabu vitatu....

Visa vya Mitume na Manabii

Visa vya Mitume na Manabii

0.0

Hapa utakwenda kujifunza historia za Mitume 25 waliotajwa kwenye Quran. Utakwenda kujifunza...

Darsa za fiqh kwa kiswahili

Darsa za fiqh kwa kiswahili

0.0

Hapa utajifunza kuhusu ibada za kiislamu na utekelezaji wake. Utaweza kujifunza vipengele...