Back to Top
Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu Screenshot 0
Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu Screenshot 1
Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu Screenshot 2
Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu

Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.

Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.

Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum inayoitwa MshindoVeterinaryCentre.com. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comments.

Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.

Mawasiliano.
Email: [email protected]
WhatsApp: 0762 799 080
Website: www.mshindoveterinarycentre.com

NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog na Website.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.

Similar Apps

TBC Habari Live

TBC Habari Live

0.0

TBC Habari Live Aimed to disseminate current news worldwide and enable you...

Sports Live Streaming HD

Sports Live Streaming HD

0.0

Watch all matches live & highlights and more of all ongoing games...

World Football Live HD Updates

World Football Live HD Updates

0.0

Watch live football matches on your mobile phone for free. Enjoy live...

ITV Habari Live.

ITV Habari Live.

0.0

Get breaking news, local, & world news today directly on your home...

Aza Sports 1 Soka Live Full HD

Aza Sports 1 Soka Live Full HD

0.0

Tembelea hapa kila siku kwa habari za michezo ndani na nje ya...

Kuku ni Biashara

Kuku ni Biashara

0.0

Ni App bora ambayo imejikita katika kutoa elimu juu ya ufugaji wa...

author
Good
A Google user
author
Nzuri sana
Tumaini Mlungu