Back to Top
Ufugaji Bora-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu Screenshot 0
Ufugaji Bora-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu Screenshot 1
Ufugaji Bora-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu Screenshot 2
Ufugaji Bora-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Ufugaji Bora-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu

Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.

Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.

Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum inayoitwa MshindoVeterinaryCentre.com. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comments.

Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.

Mawasiliano.
Email: [email protected]
WhatsApp: 0762 799 080
Website: www.mshindoveterinarycentre.com

NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog na Website.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.

Similar Apps

TBC Habari Live

TBC Habari Live

0.0

TBC Habari Live Aimed to disseminate current news worldwide and enable you...

Sports Live Streaming HD

Sports Live Streaming HD

0.0

Watch all matches live & highlights and more of all ongoing games...

World Football Live HD Updates

World Football Live HD Updates

0.0

Watch live football matches on your mobile phone for free. Enjoy live...

Aza Sports 1 Soka Live Full HD

Aza Sports 1 Soka Live Full HD

0.0

Tembelea hapa kila siku kwa habari za michezo ndani na nje ya...

ITV Habari Live.

ITV Habari Live.

0.0

Get breaking news, local, & world news today directly on your home...

Michezo

Michezo

0.0

Pata habari za michezo kupitia app hii ya michezo,...

author
Good
Bahati Kadaga
author
Good
Mshindo Media
author
Nzuri
Ester Msigwa
author
Vizur
Eddy Mgindo
author
Good
Tumaini Mlungu
author
Good it help me feed my cows well.
john mbassa