App yako inayotoa Mafunzo ya Biashara, Teknolojia, Mapishi, Sanaa na Kilimo.
App yetu inatoa mafunzo ya Ujasiriamali katika nyanja mbalimbali kama vile Biashara, Teknolojia, Mapishi, Sanaa na Kilimo.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video
Pia unaweza kututembelea katika Website yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Email: [email protected]
WhatsApp: +255 762 799 080
*****************************************************************
Android Solutions
Designed by;
Mshindo Android Solutions
Wanging'ombe
Njombe.
WhatsApp: +255 762 799 080
Email: [email protected]
Watch all matches live & highlights and more of all ongoing games...
TBC Habari Live Aimed to disseminate current news worldwide and enable you...
Tembelea hapa kila siku kwa habari za michezo ndani na nje ya...
Pata habari za michezo kupitia app hii ya michezo,...
Anywhere | Everywhere | AnytimeSTOP DREAMING, START WATCHING MY EATV-East Africa TV...
Maombi na Maombezi ni App inayokupa nafasi mtumishi wa Mungu kukutana na...
Created with AppPage.net
Similar Apps - visible in preview.