Back to Top
Ufugaji Bora - Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu. Screenshot 0
Ufugaji Bora - Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu. Screenshot 1
Ufugaji Bora - Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu. Screenshot 2
Ufugaji Bora - Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu. Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Ufugaji Bora - Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu.

Elimu ya ufugaji na Matibabu inatolewa bila gharama ili kuwasaidia wafugaji wote kutoka mazingira mbalimbali. Elimu hii itakusaidia zaidi namna ya kupambana na magonjwa ya mifugo. Maswali yote ya mifugo na ufugaji yanayowasumbua wafugaji sehemu mbalimbali za nchi yatapatiwa majibu kupitia app hii.

Fuatilia makala zetu kila siku ili upate elimu bora ufugaji, kwa kuzingatia kanuni na mbinu za kisasa. Hakika hapa utapata elimu ya ufugaji bure kabisa na usisite kuwashirkisha wengine nao wafaidi elimu ya bure.

Katika mafunzo yetu utapata ya kujifunza magonjwa na tiba zake kwa kina zaidi. Magonjwa hayo ni kama vile:-

- NDIGANA KALI/BARIDI
- MAPELE NGOZI
-GUMBORO
-MAHEPE (Marecks)
- NDUI YA KUKU (Fowl Pox)
-MDONDO (New castle)
- MINYOO
-KUHARA DAMU (coccidiosis)(Koksidiosisi)
-HOMA YA MATUMBO(Fowl typhoid)
-VIROBOTO/CHAWA/UTITIRI
-UKOSEFU WA VITAMINI A

MUHIMU:
Karibu ujifunze nasi, pia kutoa maoni kupitia App yetu kwa urahisi sana.

Similar Apps

SpotiMix - Michezo Kila Siku.

SpotiMix - Michezo Kila Siku.

0.0

Hii Ndiyo App namba moja inayokusogezea habari toka tasnia ya Michezo. Kupitia...

TechHub - Technology News, Tip

TechHub - Technology News, Tip

0.0

TechHub help users to access the articles and site about up to...

Chef Mapishi - Tujifunze Mapis

Chef Mapishi - Tujifunze Mapis

0.0

Chef Mapishi - Tunalenga kufundisha jinsi ya kutayarisha vyakula na vinywaji vya...

Ufugaji Bora - Mafunzo ya Ufug

Ufugaji Bora - Mafunzo ya Ufug

0.0

Elimu ya ufugaji na Matibabu inatolewa bila gharama ili kuwasaidia wafugaji wote...

author
App bora ya muda wote na inaweza kuondoa umaskin kama utaamua kubadili namna ya kufikil hongereni Kwa kuwa offline
edward chagu
author
Best app
Isaya Thomas
author
To do well in my project
Msafiri Mbwambo
author
Good
Eliewaha Msangi
author
Good application
AWADHI HEMEDI
author
Very nice app ...describe briefly about the whole issue of agriculture for economic benefits
Almas Omary