Back to Top
Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika Screenshot 0
Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika Screenshot 1
Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika Screenshot 2
Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika

Chef Mapishi - Tunalenga kufundisha jinsi ya kutayarisha vyakula na vinywaji vya aina mbalimbali. Tumejikita zaidi kwa aina ya vyakula vinanavyopendwa sana jamii za Kiafrika.

Tunafundisha namna ya kutayarisha vyakula vikuu, vitafunio, vitoweo, vinywaji na supu. Tunatumia lugha ya Kiswahili kuwasilisha mada na mafunzo yetu katika App yetu.

Ikiwa wewe ni mpishi na unapenda kujifunza zaidi kuhusu mapishi ya vyakula vya Kiafrika basi Chef Mapishi ni sehemu sahihi kujifunza.

Unaweza kuwashirikisha wenzio kwa kuwatumia App yetu au jina yaani "Chef Mapishi" na wao wajifunze mapishi ya Kitanzania na Afrika kwa ujumla.

Jiunge kwenye Grupu la Telegram kwa kutuma ujumbe kwenda namba hii.

Telegram - (+255) 0738265492
Email - [email protected].

Similar Apps

SpotiMix - Michezo Kila Siku.

SpotiMix - Michezo Kila Siku.

0.0

Hii Ndiyo App namba moja inayokusogezea habari toka tasnia ya Michezo. Kupitia...

TechHub - Technology News, Tip

TechHub - Technology News, Tip

0.0

TechHub help users to access the articles and site about up to...

Chef Mapishi - Tujifunze Mapis

Chef Mapishi - Tujifunze Mapis

0.0

Chef Mapishi - Tunalenga kufundisha jinsi ya kutayarisha vyakula na vinywaji vya...

Ufugaji Bora - Mafunzo ya Ufug

Ufugaji Bora - Mafunzo ya Ufug

0.0

Elimu ya ufugaji na Matibabu inatolewa bila gharama ili kuwasaidia wafugaji wote...

author
Good
vivian mcharo
author
Perfect
zayna salim
author
yaaa
Ranson Middle
author
Najifunza sana
Witne Kidoti
author
I love it
Tatna Mohammed
author
This app is very nice nimejifunz vingi😍😍😍
tumaini mmimi