Back to Top
Amri kumi za Mungu Screenshot 0
Amri kumi za Mungu Screenshot 1
Amri kumi za Mungu Screenshot 2
Amri kumi za Mungu Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Amri kumi za Mungu

Zifahamu kwa undani Amri kumi za Mungu kwa Mujibu wa mafundisho ya biblia takatifu.
Amri 10 za Mungu ni:

  • Usiwe na Miungu mingine ila mimi

  • sijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

  • Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako bure

  • Ikumbuke siku ya sabato uitakase

  • Waheshimu baba yako na mama yako

  • Usiue

  • Usizini

  • Usiibe

  • Usimshuhudie jirani yako uongo

  • Usitamani nyumba ya jirani yako


  • Ten Commandments of God in depth explanation

    Similar Apps

    Apk mods

    Apk mods

    4.0

    Download and test any profficient apps and games.Do you want the latest...

    Legal questions and answer

    Legal questions and answer

    4.3

    The App gives free well written notes on legal field, it includes...

    Quran tukufu na tafsiri yake

    Quran tukufu na tafsiri yake

    4.6

    Quran tukufu na tafsiri yake : Listen to beautiful Quran recitation by...

    Mafundisho ya neno la Mungu

    Mafundisho ya neno la Mungu

    0.0

    Sikiliza Mafundisho ya neno la Mungu ili uijue biblia. Kupitia app hii...

    Hadithi za kiswahili

    Hadithi za kiswahili

    3.8

    App hii ya hadithi za kiswahili ni mkusanyiko wa hadithi za kale...

    Mafundisho Ya Biblia Takatifu

    Mafundisho Ya Biblia Takatifu

    4.4

    Mafundisho ya Biblia, ni App inayokupa msingi wa mafundisho mbalimbali ya...