Back to Top
Biblia Takatifu -Swahili Bible Screenshot 0
Biblia Takatifu -Swahili Bible Screenshot 1
Biblia Takatifu -Swahili Bible Screenshot 2
Biblia Takatifu -Swahili Bible Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Biblia Takatifu -Swahili Bible

Biblia Takatifu - Ni App inayokuwezesha kusoma Kitabu kitakatifu cha kristo(Biblia) kwa Kiswahili kwenye simu yako.

Ni bure kabisa na inafanya kazi bila mtandao (offline).

Swahili Bible, Ina Agano Jipya na Agano la Kale imepangiliwa vizuri, ni rahisi kusoma.

Agano la Kale

Agano la Kale lina vitabu vingi tofauti vya waandishi mbalimbali vilivyotayarishwa kwa kipindi cha karne nyingi. Wakristo hugawanya Agano la Kale katika sehemu nne: vitabu vitano vya kwanza au Pentateuki (inalingana na Torati ya Kiyahudi); vitabu vya historia vinavyoeleza historia ya Waisraeli, kuanzia ushindi wao wa Kanaani hadi kushindwa kwao na uhamishoni Babeli; kitabu cha kishairi na "Vitabu vya Hekima" vinavyoshughulikia, kwa namna mbalimbali, na maswali ya wema na uovu duniani; na vitabu vya manabii wa Biblia, vinavyoonya juu ya matokeo ya kugeuka kutoka kwa Mungu.

Idadi na mpangilio wa vitabu katika Agano la Kale vinatofautiana kati ya madhehebu mbalimbali ya Ukristo. Kanuni za Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki zinajumuisha hadi vitabu 49; kanuni ya Kikatoliki inajumuisha vitabu 46; na kanuni za kawaida za Kiprotestanti zinajumuisha vitabu 39.

Agano Jipya
Kuna jumla ya vitabu 27 vya Agano Jipya. Vitabu vinne vya mwanzo ni vya Injili, na vinne vingine ni vinaelezea habari habari za maisha, matendo na maneno ya Yesu.
Vingine ni Matendo ya Mitume, Nyaraka za Mitume, hasa Mtume Paulo, na Ufunuo wa Yohane.

Similar Apps

King James Bible - KJV Offline

King James Bible - KJV Offline

4.4

King James version Bible offline with daily devotion for your Bible devotion,...

Ajira Today

Ajira Today

0.0

Ajira Today is mobile application that allows you to find latest job...

Biblia Takatifu -Swahili Bible

Biblia Takatifu -Swahili Bible

0.0

Biblia Takatifu - Ni App inayokuwezesha kusoma Kitabu kitakatifu cha kristo(Biblia) kwa...

MS Office (Excel Word)Tutorial

MS Office (Excel Word)Tutorial

0.0

Whether you are new to Office or simply want to refresh your...

Tenzi za Rohoni: Toleo jipya

Tenzi za Rohoni: Toleo jipya

0.0

Toleo hili jipya la kitabu cha nyimbo za tenzi za rohoni. kina...

Quiz: Trivia Questions & Answe

Quiz: Trivia Questions & Answe

0.0

The perfect Quiz game to gain general knowledge, about Science, technology, life,...

author
Very nice App be bless.
tausy juma
author
MUNGU akubariki app nzuri Sana..
Magreth lyimo
author
Very nice App God bless you
steven leonard