Back to Top
Mwaga China Store Screenshot 0
Mwaga China Store Screenshot 1
Mwaga China Store Screenshot 2
Mwaga China Store Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Mwaga China Store

Mwaga China Store inakuwezesha wewe mteja wetu kuweza kuona bidhaa zetu zote na kuchagua bidhaa utakayoipenda na kuiwekea oda bidhaa hiyo.
Kwa kawaida bidhaa zetu tunazisafirisha kwa usafiri wa aina mbili kutoka china, usafiri wa ndege (siku 2 hadi 3) na usafiri wa meli (siku 45 hadi 60) na kama bidhaa haijaelezwa kuwa itasafirishwa kwa ndege, basi fahamu kuwa bidhaa hiyo itasafirishwa kwa meli, mzigo wako utafikia stoo yetu iliyopo Dar es salaam. Baada ya hapo unaweza kuja kuuchukua au tutakutumia ulipo kwa makubaliano na pia kama uko nje ya mkoa wa Dar es salaam bidhaa yako itasafirishwa kuja ulipo kwa makubaliano.

Similar Apps

Mwaga China Store

Mwaga China Store

0.0

Mwaga China Store inakuwezesha wewe mteja wetu kuweza kuona bidhaa zetu zote...

School App

School App

0.0

School App help students of all kinds to prepare for the their...

Wa-Groups

Wa-Groups

0.0

Get useful Group Links of business ,movies, health and auctioneers via Wa-Groups...