Back to Top
Kilimo na Mifugo Screenshot 0
Kilimo na Mifugo Screenshot 1
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Kilimo na Mifugo

App hii ya Kilimo na Mifugo ni kwa ajili ya kutoa elimu ya kilimo na ufugaji na namna ya kupambana na magonjwa ya kilimo na mifugo. Maswali yote ya kilimo na mifugo yanayowasumbua wakulima na wafugaji sehemu mbalimbali za nchi yatapatiwa majibu kupitia app hii. Fuatilia kila siku ili upate elimu bora kabisa ya kilimo na ufugaji, ulime na ufuge kwa kufuata kanuni na mbinu za kisasa zinazotumiwa duniani kote. Hakika hapa utapata elimu ya kilimo na ufugaji bure kabisa na usisite kuwashirkisha wengine nao wafaidi elimu ya bure.

Similar Apps

Ufugaji bora - Fuga Kitaalamu

Ufugaji bora - Fuga Kitaalamu

0.0

App hii inakupa mafunzo na mbinu za kitaalamu za ufugaji wa mifugo...

Virology

Virology

0.0

You will get knowledge on viruses, diseases they cause and their control...

Ufugaji

Ufugaji

0.0

App hii imeandaliwa kwa ajili ya wanaopenda kujifunza ufugaji bora wa mifugo...