Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more...
AppPage.net
About Ufugaji
App hii imeandaliwa kwa ajili ya wanaopenda kujifunza ufugaji bora wa mifugo au wanaopenda kuobresha ufugaji wao wa mifugo. Inatoa elimu ya mifugo yote inayofugwa sehemu mbalimbali duniani. Ni kupitia app hii utajifunza mbinu mbalimbali za ufugaji na namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za ufugaji kubwa ikiwa ni magonjwa. Pakua app hii sasa na mjulishe na mwenzio maana inapatikana bure kabisa ili mradi uwe na smartphone.
Similar Apps
Ufugaji bora - Fuga Kitaalamu
App hii inakupa mafunzo na mbinu za kitaalamu za ufugaji wa mifugo...
Kilimo na Mifugo
App hii ya Kilimo na Mifugo ni kwa ajili ya kutoa elimu...
Virology
You will get knowledge on viruses, diseases they cause and their control...
Nimeipenda sana inaelimisha na kutoa majibu kwenye changamoto za kilimo na ufugaji
Mbuzi
useful app
Very good
Karibuni
Educative