Back to Top
Kuku Kalenda - Aquinus Screenshot 0
Kuku Kalenda - Aquinus Screenshot 1
Kuku Kalenda - Aquinus Screenshot 2
Kuku Kalenda - Aquinus Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Kuku Kalenda - Aquinus

Kuku kalenda ni App inayomilikiwa na kampuni ya AQUINUS FARMS LIMITED.

App hii inamuwezesha mtu yoyote yule kufuga kuku hata kama hana ufahamu wowote kuhusu ufugaji huu. Kupitia "Kuku Kalenda" App utapewa mafunzo kuanzia mwanzo kabisa wa mradi wako wa kuku, jinsi ya kuandaa mtaji, Chanjo za kuku, vifaranga, soko pamoja na utotoleshaji. Vile vile unapata kalenda itakayokuelekeza jinsi ya kufuga kuku wako na jinsi ya kuwahudumia kila siku tangia siku ya kwanza.

AQUINUS FARMS LIMITED ni kampuni yenye Makao Makuu, Nyumba namba 4, Mtaa wa Gambia, Barabara ya Akachube, Kijitonyama, Dar es Salaam. Kampuni imewekeza kwenye maeneo mengine, kama Bagamoyo, Goba, Vianzi-Mkuranga, Iringa na Mbinga-Ruvuma.

Kampuni inajishughulisha na shughuli mbalimbali kama kutotolesha vifaranga vya kuku wa kienyeji wakubwa, ufugaji kuku wa kienyeji, utengenezaji wa chakula, upandaji miti, utafiti, ushauri wa kibiashara, App na Uwekezaji katika ardhi.

Aquinus Farms tunauza vifaranga bora sana vya kuku wa kienyeji halisi, wakubwa.

Aina hizo ni:
Rhode Island Red
White Leghorn
Black Australorp
Plymouth Rock
New Hampshire
Kishingo
Njachama

Sifa za kuku hao:
Wamechanjwa chanjo ya kwanza ya Marek's.
Wanahimili sana magonjwa.
Wanakua haraka.
Wanataga kuanzia miezi mitano.
Kila tetea anataga mayai 250 - 280 kwa mwaka.
Wanapata uzito haraka.
Mayai na nyama yao ni tamu sana.

Similar Apps

BeSTOIC

BeSTOIC

0.0

Develop Calmness, Wisdom, Mindfulness, Focus and Perseverance....

Soldrax

Soldrax

0.0

Soldrax Inakuwezesha kucheza na kushindana kwenye michezo ya karata (lastcard na arubastini)...

CALIPA

CALIPA

0.0

An online library for books and courses. Publishers can supply their content...

Kuku Kalenda - Aquinus

Kuku Kalenda - Aquinus

0.0

Kuku kalenda ni App inayomilikiwa na kampuni ya AQUINUS FARMS LIMITED.App hii...

author
Unataka kupunguza vifo vya vifaranga na kuku wako? Ingia kwenye App ya *Kuku Kalenda upate mwongozo wa uleaji vifaranga kila siku, tangu siku ya 1 hadi kuku wanataga, miezi 5.
Clara Ndunguru
author
Safiiiii App nzuri sana. Ninautumia mwongozo wake wa ufugaji na nimepata mafanikio mazuri sanaaaa. Vifaranga wangu hawafi sana kama zamani. Big up Aquinus Farms!!!!!!
John Godwin
author
kazi nzuri sana
Salome Mtaki
author
Dinesh operator
Dinesh Dinesh kumar
author
Hii app ni nzuri sana
Sharif Sharif
author
Place to learn how to grow your chicken
CHRISTIAN MKEKANULE