Back to Top
Jifunze Ushairi Screenshot 0
Jifunze Ushairi Screenshot 1
Jifunze Ushairi Screenshot 2
Jifunze Ushairi Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Jifunze Ushairi

Jifunze Ushairi ni programu kutoka kwa Mwanagenzi Mtafiti (www.mwanagenzi.com). Imeundwa kumsaidia mwanafunzi wa ushairi au mshairi chipukizi anayejifunza kutunga mashairi ya Kiswahili. Imeundwa kwa ufundi wa hali ya juu na inatumia Kiswahili kama lugha ya msingi.

Vidokezo:
- Soma makala mbalimbali kuhusu Ushairi; Dhana, Uainishaji, Uhakiki na mifano ya mashairi.
- Elekezwa kutunga mashairi hatua kwa hatua ukisoma nguzo muhimu katika utunzi wa mashairi.
- Mpangilio aali wa programu unaopendeza.
- Jiburudishe kwa mchezo wa kujibu maswali ya Ushairi.
- Pata Alama zako na majibu ya maswali yote uliyoyajibu.
- Hifadhi makala ili iwe rahisi kuyapata na kuyasoma baadaye.
- Pokea arifa punde tu tunapochapisha makala mapya.
- Badilisha ukubwa wa fonti ili ukufae kusoma unavyopenda.
- Shirikisha rafiki kwa kumtumia baadhi ya maelezo.
- Utasoma makala yote bila kuwa hewani kwa mtandao.

Ni tumaini letu kuwa huduma hii itakupendeza.

Shukran

Similar Apps

Kenya Radio Hub

Kenya Radio Hub

0.0

Listen to over 500 Kenya Radio broadcasters. Take your radio listening to...

Ushairi wa Mwanagenzi

Ushairi wa Mwanagenzi

0.0

Ushairi wa Mwanagenzi ni kitumizi kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari...

Jifunze Ushairi

Jifunze Ushairi

0.0

Jifunze Ushairi ni programu kutoka kwa Mwanagenzi Mtafiti (www.mwanagenzi.com). Imeundwa kumsaidia mwanafunzi...

author
By downloading this App you will never regret it is the best shairi app
Mercy Nzisa
author
Asante sana kwa ushairi mzuri
Fraisca Matthias
author
It is helping alot n swahili poem
Samson Mwita
author
Umejaa tajriba.Hongera kazi nzuri
kipronoh benard
author
Mashaallah ,kazi aula ndugu Kimani Mbogo!😉
moses chesire
author
Nawezaje pata soft copy utendi wa mwana kupona
Shamsudin Ali