Back to Top
Offline Bible audio Swahili. Swahili Bible free Screenshot 0
Offline Bible audio Swahili. Swahili Bible free Screenshot 1
Offline Bible audio Swahili. Swahili Bible free Screenshot 2
Offline Bible audio Swahili. Swahili Bible free Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Offline Bible audio Swahili. Swahili Bible free

Biblia ni jina la jumla kwa ajili ya vitabu vitakatifu vya dini ya Uyahudi na hasa ya Ukristo. Neno limetokana na lugha ya Kigiriki ambayo ndani yake βιβλία (biblia) ina maana ya "vitabu" ikiwa ni wingi wa βιβλος (biblos). Hii ni kwa sababu Biblia ni mkusanyo wa maandiko mbalimbali yaliyoweza kutungwa kwa muda wa miaka 1000 hivi.

Hivyo Biblia ni tofauti na vitabu vingine kwa sababu iliandikwa na watu mbalimbali ambao hawakuwa pamoja wala hawakuandika kwa wakati mmoja, lakini vitabu vyote vimekusanywa na kuunda kitabu kimoja cha Biblia. Inasadikiwa na Wayahudi na Wakristo kwamba "Biblia ni kitabu kilichoandikwa na watu kwa uwezo wa Mungu".

Kuchagua kitabu kusikiliza:
Agano la kale
Agano jipya

VIPENGELE:
- Audio Bible bila mtandao
- Na kazi ya nyuma ya kicheza sauti cha Bibilia.
- Rahisi kuelewa sauti ya kusoma programu ya Bibilia. Rahisi audio audio Bible bure mkondoni.
- Shiriki mstari unaopenda wa sauti ya Bibilia na marafiki.
- Inayotumika kutumia. Msomaji wa Sauti ya Bibilia wakati wowote.
- Audio Audio na muziki na timer ya kulala.
- Mabadiliko ya saizi ya fonti kwa mwonekano wa mtumiaji.

Similar Apps

Offline Audio Bible KJV App

Offline Audio Bible KJV App

4.6

Enjoy listening mp3 audio bibles free in english. This King James Version...

آډیو قرآن په پښتو ژبه app mp3

آډیو قرآن په پښتو ژبه app mp3

4.6

آډیو قرآن د Android وسیلو لپاره د قران پاک وړیا اپلیکیشن دی....

Audio Biblia en Español app

Audio Biblia en Español app

4.6

La Biblia Reina Valera es el conjunto de libros canónicos del judaísmo...

Audio Biblia en español mp3

Audio Biblia en español mp3

4.8

La Biblia (del latín biblĭa)​ es un conjunto de libros canónicosCaracterísticas de...

Audio Bible KJV app

Audio Bible KJV app

4.6

Enjoy listening mp3 audio bibles free in english. This King James Version...

Bible Audio en Français mp3

Bible Audio en Français mp3

4.9

La Bible est un ensemble de textes considérés comme sacrés chez les...

author
Love this app Audibility is good👍
Eunice Kariuki
author
Excellent. God bless you all.
ROBERT FELIX
author
The best app l like it
Keno jacob
author
It's Nice
EDWARD MDEMU
author
I like the , easy to use and there is no ads.
Edward Na Anita
author
Good
Prisca Munuo