Jifunze namna ya kusali swala ya Jeneza au swala ya maiti, mirathi ya kiislam pamoja na wosia.
App hii inakupa muongozo juu ya mambo ya kheri na siyo kheri yanayopaswa kumfanyia maiti.
Baadhi ya yaliyomo katika app hii ni swala ya maiti na hatua kwa hatua za kumuandaa na kumswalia maiti, kumkafini maiti, kumuhifadhi na mambo yote yanayohusu mayt.
Muongozo huu ni kwa mujibu wa dini ya kiislam na mafundisho ya Mtume Muhammad S.A.W