Back to Top
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 Screenshot 0
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 Screenshot 1
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 Screenshot 2
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini, unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Similar Apps

All PDF-PDF Reader, PDF Viewer

All PDF-PDF Reader, PDF Viewer

4.4

All PDF is the free PDF Reader app allows you to read...

Biblia Takatifu na Sauti

Biblia Takatifu na Sauti

4.7

Swahili Bible - Biblia Takatifu enables you to read the Bible in...

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

4.7

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya...

Nyimbo za Kristo SDA, sda hymn

Nyimbo za Kristo SDA, sda hymn

4.5

Read or listen to Gospel songs or Nyimbo za Kristo from the...

Vocha Master: Airtime loadup,

Vocha Master: Airtime loadup,

4.8

Vocha Master is a recharge king which uses your device to scan...

Download manager & Accelerator

Download manager & Accelerator

3.8

Download Booster is all files download manager and download accelerator which speeds...

Frequently Asked Questions(FAQ)

App hii inawezesha nini?

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohoni mpya kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

Simu gani inaitajiwa ili kutumia App hii?

Unaweza kutumia App hii kwenye simu yoyote.

Ni idadi gani ya nyimbo za dini zinapatikana kwenye App hii?

App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya.

Inahitajika intaneti kwa ajili ya kusikiliza ala za nyimbo za injili?

Hapana, unaweza kusikiliza ala za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti kwenye App hii.

Je, inawezekana kutafuta nyimbo za injili kwenye App hii?

Ndiyo, unaweza kutafuta nyimbo za injili kwa urahisi kutoka kwenye orodha ya nyimbo.

Je, napaswa kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini ili kutumia App hii?

Hapana, unahitaji tu kufungua App hii kwenye simu yako.

Je, inawezekana kuweka nyimbo unazozipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini?

Ndiyo, unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini.

Je, inawezekana kuongeza ukubwa wa maandishi katika nyimbo za rohoni mpya?

Ndiyo, unaweza kuongeza ukubwa wa maandishi katika nyimbo za rohoni mpya kwenye App hii.

Je, ninaweza kuchagua aina ya fonti za aya kwenye App hii?

Ndiyo, unaweza kuchagua aina ya fonti za aya kwenye App hii.

Je, ninaweza kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti kwenye App hii?

Ndiyo, unaweza kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti kwenye App hii.
author
I real like this app
Bertha Kapugi
author
I realy like this app. So much useful.
Zainabu Emamu
author
Satisfied
Apolo Mramba
author
Good app
Raphael Omary
author
I love it...especially because of the rhythm, one can use it to practise the hymns unknown to them...
nuel ndara
author
Very nice
Philipo Mfikwa