Back to Top
Biblia Kilughuru - Soma Lugha Yako Screenshot 0
Biblia Kilughuru - Soma Lugha Yako Screenshot 1
Biblia Kilughuru - Soma Lugha Yako Screenshot 2
Biblia Kilughuru - Soma Lugha Yako Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Biblia Kilughuru - Soma Lugha Yako

Biblia Takatifu, Agano Jipya katika Kilughuru (Laghano lya Sambi kwe Iwanhu Wose)

✔Soma Biblia offline bila kutumia MB zako
✔Sikia Agano Jiypa kwa sauti (kusikia kwa sauti inatumia MB)
✔Bainisha mistali maluum
✔Tafuta maneno yeyote
✔Andika dondoo
✔Angalia kihistoria yako ya kusoma
✔Badalisha ukubwa wa maneno kwa kusoma rahisi
✔Shiriki na rafiki
✔BURE KABISA!
✔Hakuna matembezi!

Tafsiri hii ya Bibilia Kiluguru ilitolewa na Pioneer Bible Translators (PBT) na The Word for the World (TWFTW) katika mwaka 2014. Bibilia ya sauti ilitegenezwa na Davar Partners.

Ukipenda kupokea kitabu cha Kilugulu, tafadhali nenda www.pioneerbible.org
================================
The Bible (New Testament) for the Lughuru people of Tanzania

✔Read Bible offline without using data
✔Listen to the audio New Testament (Audio uses data)
✔Take notes
✔Highlight or bookmark your favorite verses
✔Dark mode and sepia
✔Look at your viewing history
✔Search for key words
✔Adjust font size
✔Easy to share with friends
✔FREE
✔No ads!

This translation of the Luguru Bible, published by Pioneer Bible Translators and The Word for the World, was published in 2014. The audio New Testament in Lughulu was published by Davar Partners.

If you are interested in obtaining a printed copy, please contact www.pioneerbible.org.

Similar Apps

Biblia Kizaramo

Biblia Kizaramo

0.0

Agano Jipya katika Kizaramo (Usenga Unogile ha Wanhu Wose)✔Soma Biblia offline bila...

Biblia Kimakonde

Biblia Kimakonde

0.0

Agano Jipya katika Kimakonde (Malove Lambone kwa vanu vammalele)✔Soma Biblia offline bila...

Biblia Kimwera

Biblia Kimwera

0.0

Agano Jipya katika Kimwera (Ngani ja mmbone ku bhandu bhowe)✔Soma Biblia offline...

Biblia Kimatumbi

Biblia Kimatumbi

0.0

Vitabu mbali mbali vya Agano Jipya katika lugha ya Kimatumbi✔Soma Biblia offline...

Biblia Kikwere

Biblia Kikwere

0.0

Agano Jipya na Agano la Kale katika Kikwele (Lagano da Sambi na...

Biblia Kimakua

Biblia Kimakua

0.0

Biblia Takatifu, Agano Jipya katika Kimakua (Malhehano o Naanano wa Attu Onkaye...

author
Ukitaka kusoma biblia katika kiluguru, upate app hii. Napenda kwamba biblia inapatikana offline. Baada ya kudownload app sihitaji mtandau kuisoma.
James Lundeen
author
imejitahidi sana, kiluguru cha wapi hiki?
Casian R. Komu
author
wow its' wonderful app that i never think that it is already been created. am also lughuru , For this i say that " i Mulungu yawabariki wose wandike i bibilia ino."
Coster Silili
author
This Bible app was recommended by a friend, and is great for Lughuru speakers. The app is easy to use, and free to download. Thank you for making the Lughuru Bible app available!
A Google user