Back to Top
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي Screenshot 0
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي Screenshot 1
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي Screenshot 2
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Msahafu wa Kiswahili السواحيلي

Unaweza kupakua Programu na kuvinjari Qur'ani Tukufu pamoja na tafsiri (Hapa jina la lugha) kwa njia rahisi na nyepesi zaidi na kwa ubunifu mzuri wa kuvutia, uliobuniwa na wachoraji mahiri wa mapambo ya Qur'ani katika ulimwengu kwa muonekano wa kuvutia.

***Vipengele vya Apilikesheni***
- Wepesi wa kutumia ukurasa na imerahisishwa kwa kiwango cha hali ya juu.
- Utafutaji wa haraka zaidi, utafutaji katika aya za Qur'ani na katika majina ya sura na Juzuu.
- Kusoma Qur'ani, furahia kisomo cha Qur'ani Tukufu kutoka katika nakala iliyohakikiwa, iliyobuniwa kwa ubunifu mzuri na wa kuvutia.
- Tafsiri ya maana ya maneno ya Qur'ani Tukufu, ifahamu Qur'ani Tukufu kwa lugha yako kupitia tafsiri ya maana yake katika lugha ya Kiswahili
- Lugha mbali mbali, vinjari programu kwa lugha yako au kwa lugha unayopenda kuitumia katika Msahafu.
- Visomo, Kusikiliza kisomo cha Qur'ani Tukufu kwa sauti za wasomaji mashuhuri na wenye visomo vitamu.
- Kicheza sauti cha hali ya juu: Opereta inakupa uwezo wa hali ya juu, mfano kurudia rudia kwa ajili ya kukusaidia kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
- Vituo: Kuongeza alama za marejeo na kuziongoza, kwa ajili ya wepesi wa kurejea katika sehemu za kusimama katika aya maalum.
- Vipendwa: Kuongeza idadi yoyote ya aya katika vipendwa, kwa ajili ya wepesi wa kuzirejea baadaye.
- Kuongeza maoni: Kuongeza maoni na mazingatio wakati wa kusoma Qur'ani, au kusoma tafsiri ya maana yake.
- Kushiriki: Kushiriki aya au maana yake kwa marafiki zako kupitia Apilikesheni na mitandao ya kijamii.
- Ubunifu wa kipekee: Imekamilika kuchagua rangi na mapambo ya kuvutia macho, na ubunifu wa kisasa ulionukuliwa kutoka katika tamaduni za wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili

Designed and Developed by: https://smartech.online

Similar Apps

Oromo Quran

Oromo Quran

4.7

THE OROMO QURÁNReliable translation of the meanings of the Holy Qur’an in...

MP3 Quran - القران الكريم

MP3 Quran - القران الكريم

4.8

Quran Audio Library App (MP3Quran - V 0.3) aims to provide Quran...

Amharic Quran ታላቁ ቁርዐን በዐማርኛ ا

Amharic Quran ታላቁ ቁርዐን በዐማርኛ ا

4.4

THE AMHARIC QURÁNReliable translation of the meanings of the Holy Qur’an in...

Telawa Hafs Quran مصحف التلاوة

Telawa Hafs Quran مصحف التلاوة

4.6

Telawa Hafs Quran AppIt is a comprehensive and improved version of the...

Quran with Urdu trans. قرآن پا

Quran with Urdu trans. قرآن پا

5.0

IndoPak Quran & translations ( Urdu, Hindi, Kannada, Farsi, and Pashtoo )The...

Alƙurani Mai Girma Quran Hausa

Alƙurani Mai Girma Quran Hausa

0.0

Za ka iya sauke manhajar , kuma ka buɗe Al-ƙur'ani mai Girma...

Frequently Asked Questions(FAQ)

Ni nini Msahafu wa Kiswahili السواحيلي?

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي ni programu ambayo inaruhusu watumiaji kupata ufikivu wa Qur'ani Tukufu pamoja na tafsiri yake kwa lugha ya Kiswahili kwa njia rahisi na yenye ubunifu wa kuvutia.

Vipengele gani vinapatikana katika Apilikesheni hii?

Apilikesheni hii ina vipengele kadhaa ikiwa ni pamoja na utafutaji wa haraka zaidi, kusoma Qur'ani Tukufu kwa njia yenye ubunifu mzuri, tafsiri ya maana ya maneno ya Qur'ani Tukufu, lugha mbalimbali, visomo vya Qur'ani na kicheza sauti cha hali ya juu kwa ajili ya kukusaidia kuhifadhi Qur'ani Tukufu. Pia, ina vituo, vipendwa, kuongeza maoni na kushiriki kwa urahisi.
author
Very nice app
Ali Mkendwa