Hii ni programu tumishi isiyohitaji mtandao (offline application) kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa nyimbo zote za Kristo za kiadventista (SDA Swahili hymnal) kama zilivyo pangiliwa katika kitabu.
Program hii inakuja ikiwa ina mp3 za kila wimbo isipokua nyimbo chache tu, Pia program itamurahisishia mtumiaji kuweza kufahamu namba ya wimbo husika katika vitabu vingine (kwamfano kitabu kikubwa)
Swahili dictionary This application will meet all your needs regarding a proper...
This is an English version of the book widely known by the...
Kitabu cha Tumaini Kuu, toleo la kiswahili kama lilivyo tafasiliwa kutokea toleo...
This application needs inputs such as height (cm or m) and weight...
Created with AppPage.net
Similar Apps - visible in preview.