Back to Top
Kuza Business Screenshot 0
Kuza Business Screenshot 1
Kuza Business Screenshot 2
Kuza Business Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Kuza Business

Kuza Business ni aplikesheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake zote za msingi kuhusu biashara yake kama bidhaa, mauzo na matumizi.

Ukiwa na app ya Kuza Business unaweza kufanya yafuatayo;

- Kurekodi bidhaa zako yani Stock
- Kurekodi Mauzo Yako
- Kurekodi Matumizi Yanayohusu Biashara Yako
- Kurekodi wateja wako
- Na Kutunza taarifa zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai, wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi.

Karibu Kuza Business Uweze Kukuza Biashara Yako


Kuza Business is a bookkeeping mobile app for businesses to record and store their business data and details like sales, spendings and stocking. Kuza Business make it easy for businesses to grow their businesses and by making informed decision from their business data

Similar Apps

Momoa

Momoa

0.0

Momoa ni app inayomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake. Badala ya...

SwahiliesPay

SwahiliesPay

0.0

With Swahilies Pay you can request payments from your customers and get...

Swahilies

Swahilies

0.0

Swahilies mobile app is a better, fast and reliable means for you...

Frequently Asked Questions(FAQ)

Ni nini Kuza Business?

Kuza Business ni aplikesheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake za msingi kuhusu biashara yake kama bidhaa, mauzo na matumizi.

Ni kazi gani ninazoweza kufanya na app ya Kuza Business?

Ukiwa na app ya Kuza Business unaweza kurekodi bidhaa zako, mauzo yako, matumizi yanayohusu biashara yako, kurekodi wateja wako na kutunza taarifa zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai, wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi.

Inasaidiaje Kuza Business katika kukua kwa biashara yangu?

Kuza Business inawezesha biashara kukua kwa kutoa taarifa muhimu za biashara kama mauzo, matumizi na bidhaa zilizopo. Hii inasaidia wafanyabiashara kufanya maamuzi sahihi kulingana na data yao ya biashara.

Je, ni nani anayeweza kutumia Kuza Business?

Kuza Business inaweza kutumiwa na wafanyabiashara wa aina yoyote ambao wanataka kurekodi na kutunza taarifa zao za biashara, kutunza rekodi za mauzo na matumizi, na kufanya maamuzi sahihi kutokana na data yao ya biashara.