Back to Top
Damaresi App Screenshot 0
Damaresi App Screenshot 1
Damaresi App Screenshot 2
Damaresi App Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Damaresi App

DAMARESI ni programu ya muziki inayokuletea nyimbo za Tanzania na Afrika sehemu moja. Sikiliza nyimbo mpya, gundua wasanii unaowapenda, pakua muziki wako, na ufuatilie machati ya nyimbo zinazotikisa kwa sasa.

Kupitia DAMARESI unaweza:

- Kusikiliza nyimbo mpya na zilizopendwa zaidi
- Kupakua nyimbo kwa matumizi binafsi
- Kugundua wasanii, albamu na playlist mbalimbali
- Kufuatilia machati na nyimbo zinazovuma
- Kupokea taarifa za nyimbo mpya zinapochapishwa
- Kufungua ukurasa wa wimbo moja kwa moja kupitia taarifa za app
- Kuhifadhi muziki unaoupenda kwa urahisi

DAMARESI imeundwa kwa ajili ya wapenzi wa muziki wanaotaka uzoefu rahisi, wa haraka na wa kisasa katika kusikiliza na kugundua muziki bora wa nyumbani na kutoka Afrika nzima

Similar Apps

MUSICDJ REMOTE

MUSICDJ REMOTE

5.0

Control your MUSICDJ Player from anywhere.

Qlick – Keyboard Fidget Toy

Qlick – Keyboard Fidget Toy

0.0

Tactile mechanical keyboard fidget clicker with satisfying switch ASMR sounds.

Streamci Musique

Streamci Musique

3.3

Discover and support Ivorian and African music via streaming

UniTune

UniTune

Play music together in perfect sync. Turn any multiple phones into one sound.

105 Legends

105 Legends

0.0

105 Legends plays the Legends of Country Music!

Volume Booster: Bass Equalizer

Volume Booster: Bass Equalizer

Extra volume booster, 10-band equalizer & bass booster for loud, clear audio.

author
You guys are seriously onto something special here! The interface is incredibly clean, navigation is effortless, and the music library is massive. A truly blissful experience.
Delican Obare
author
𝐈 𝐰𝐚𝐧𝐭 𝐭𝐨 𝐝𝐨𝐰𝐧𝐥𝐨𝐫𝐝 𝐨𝐧𝐥𝐢𝐧𝐞 𝐬𝐨 𝐢 𝐧𝐞𝐞𝐝 𝐢 𝐝𝐞𝐚𝐬 𝐡𝐨𝐰 𝐜𝐚𝐧 𝐝𝐨𝐰𝐧𝐥𝐨𝐫𝐝 𝐦𝐮𝐬𝐢𝐜 𝐭𝐡𝐫𝐨𝐮𝐠𝐡 𝐛𝐲 𝐮𝐬𝐢𝐧𝐝 𝐭𝐡𝐞𝐬𝐞 𝐚𝐩𝐩 𝐩𝐥𝐳 𝐢 𝐧𝐞𝐞𝐝 𝐡𝐞𝐥𝐩
Jeyv Cynthia
author
Good move keep it up
Bizimana Nicodeme
author
good apk
Fanah Tz