Back to Top
Matukio Tz Screenshot 0
Matukio Tz Screenshot 1
Matukio Tz Screenshot 2
Matukio Tz Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Matukio Tz

Matukio Tz ni app ambayo itakuwa ikikuletea taarifa mbalimbali zinazotokea ndani ya Tanzania na Ulimwengu pia Kiujumla taarifa hizo zimetegwa katika mafungu makuu manne kama ifuatavyo;

HABARI, Hapa utakuwa ukijuzwa matukio mbalimbali yanayojiri hapa nchini Tanzani na pia yale yatokeayo nje ya mipaka ya Tanzania,Kijamii,Kiuchumi na Kibiashara.

MICHEZO, Katika sehemu hii ya michezo mdau wa soka utakuwa ukifurahia taarifa za soka kuhusiana na timu kongwe Yanga na Simba ni pia taarifa za ligi zote kuanzia ligi kuu hadi ligi za madaraja ya chini yake, pia taarifa za ligi mbalimbali ulaya na wachezaji wake utakuwa ukizipata kupitia app hii.

BURUDANI, Hii sehemu ambayo ww mpenzi wa muziki na tamthlia za kutafsiliwa kiswahili utakuwa ukitazama tamthilia hizo mojamoja kwa mojoja mtandaoni au kwa kuzipakua kwanza kwenye simu na baadae kuziangalia ukiwa hutumii mtandao wa internet,pia utaweza kupakua nyimbo mpya zinazotoka kila ikiwa ni video na audio pia.

AJIRA, Mpendwa mtafuta ajira sasa utaweza kuangalia nafasi za ajira zinazotolewa kila siku katika vitengo mbalimbali na hii itaweza kurahisishia kazi ya kufanya maombi ukiwa na uhakikika kutokana taarifa hizi kuwa mpya kila kukicha.

App hii ni mahususi kwako ww mtanzania mwenzangu kwani mambo yaliyomo ni maalamu na muhimu sana ndani ya Tanzania.

Ahsanteni.

Similar Apps

الرياضة في المنزل بدون نت

الرياضة في المنزل بدون نت

0.0

Home sports for girls and men without the net. A guide to gym exercises for weight gain or weakness for everyone

NEW CITY FELLOWSHIP ST. LOUIS

NEW CITY FELLOWSHIP ST. LOUIS

0.0

Resources to help you grow and stay connected.

Zonafácil

Zonafácil

0.0

Information search engine

One Church SD

One Church SD

0.0

This free resource allows you to connect with the church.

EgyBarber Staff   | صالون الحل

EgyBarber Staff | صالون الحل

0.0

The first application of its kind for reserving and following up barbershops in Egypt (copy of Saoun)

Alf

Alf

0.0

For a safer home

author
Thanks Good work
Dismas Chagenda
author
Good
Anthony Mruma
author
Yes makini saana
Kadenge Mbiliti
author
Ipo vizuri
Muhamed Zahor
author
Good news
Js Misheto