Back to Top
Katekisimu Ndogo Screenshot 0
Katekisimu Ndogo Screenshot 1
Katekisimu Ndogo Screenshot 2
Katekisimu Ndogo Screenshot 3
Free website generator for mobile apps; privacy policy, app-ads.txt support and more... AppPage.net

About Katekisimu Ndogo

Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki,

App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki , Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.
Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki ,
zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:

1: SEHEMU YA KWANZA : IMANI
- Kipengele hiki kinahusisha Kanuni ya Imani ya Kanisa Katotiki amapo pia kimegawanyika katika sehemu kuu 12 ambazo kila moja wapo ndani yake kuna maswali na
majibu kuhusiana na kila kipendele kwenye kanuni ya imani.

1.0 : NASADIKI
1.1 : KWA MUNGU BABA MWENYEZI
1.2 : MUUMBA MBINGU NA DUNIA
1.3 : YESU KRISTU MWANAE WA PEKEE BWANA WETU ALIYETUNGWA KWA ROHO MTAKATIFU AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA
1.4 : AKATESWA KWA MAMLAKA YA PONSIO PILATO AKATESWA AKAFA AKAZIKWA AKASHUKIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU
1.5 : AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUME KWA MUNGU BABA MWENYEZI
1.6 : TOKA HUKO ATAKUJA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU
1.7 : NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU
1.8 : KANISA TAKATIFU KATOLIKI
1.9 : USHIRIKA WA WATAKATIFU
1.10 : MAONDOLEO YA DHAMBI
1.11 : UFUFUKO WA MIILI NA UZIMA WA MILELE

2: SEHEMU YA PILI : SAKRAMENTI
-Sehemu hii inatoa majibu ya maswali kuhusu Liturujia,Neema, Visakramenti, Sakramenti
umuhimu wa Sakramenti , nani na wakati gani anatakiwa kupokea Sakramenti husika. Sehemu hii pia imegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo:
2.0 : LITURJIA
2.1 : NEEMA
2.2 : SAKRAMENTI
2.3 : VISAKRAMENTI
2:4 : SALA

3: SEHEMU YA TATU : AMRI
Sehemu hii ya Tatu inahusisha uchambuzi wa Amri zote za Mungu na za kanisa, pia imejikita katika kutoa majibu kuhusu masuala ya fadhila , aina za fadhila,dhambi aina za dhambi, vishawishi na asili zake,
na pia majibu kuhusu dhamiri. Nayo imegawanyika katika sehemu zifuatazo.
3.0 : AMRI KUU
3.1 : AMRI KUMI ZA MNGU
3.2 : AMRI ZA KANISA
3.3 : FADHILA
3.4 : DHAMIRI
3.5 : DHAMBI
3.6 : VISHAVISHI

4: SEHEMU YA NNE : SALA MUHIMU
Sehemu hii ya nne imegawanyika katika vipengele saba ambavyo vinahusisha zaidi aina mbalimbali za sala kwa wakatoliki ambao ni msingi wa maisha na shughuli zao za kila siku ,
namna ya kusali, wakati wa kusali ikiwa na lengo la kukufanya umshirikishe Mungu na kuwa karibu naye kwa kila jambo ufanyalo kwa siku nzima.
4.0 : SALA ZA ASUBUHI
4.1 : SALA YA JIONI
4.2 : SALA KABLA YA MAFUNDISHO
4.3 : SALA WAKATI WA KUUNGAMA
4.4 : SALA ZA JIONI
4.5 : SALA ZA KOMUNYIO
4.6 : SALA KWA BIKIRA MARIA

Similar Apps

2022 Kaizer Chiefs FC Keyboard

2022 Kaizer Chiefs FC Keyboard

0.0

This is NOT Official Kaizer Chiefs FC App. It created...

Ghana flag  KeyBoard

Ghana flag KeyBoard

0.0

This KeyBoard App is for promoting love, unity and solidarity of our...

OdmPP KeyBoard

OdmPP KeyBoard

0.0

Android KeyBoard App with amazing look and functions for odm...

Msimbazi Simba KeyBoard App

Msimbazi Simba KeyBoard App

0.0

This is NOT Official Simba SC App. It created by supporter and...

umawamo

umawamo

0.0

umawamo, app mahususi kwa kushea taarifa mbalimbali za jumuiya ya kichungaji.Hii in...

Revival Word

Revival Word

0.0

Break the charm and power of the world, which blinds the eyes...

Frequently Asked Questions(FAQ)

Ni nini Katekisimu Ndogo?

Katekisimu Ndogo ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki.

App hii imeandaliwa kwa mujibu wa nini?

App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki, Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.

Sehemu kuu ngapi zinapatikana katika App hii?

App hii imegawanyika katika sehemu kuu nne.

Sehemu ya kwanza inahusu nini?

Sehemu ya kwanza inahusu imani.

Imani imegawanyika katika sehemu kuu ngapi?

Imani imegawanyika katika sehemu kuu 12.

Sehemu ya pili inahusu nini?

Sehemu ya pili inahusu sakramenti.

Sehemu ya tatu inahusu nini?

Sehemu ya tatu inahusu amri.

Sehemu ya nne inahusu nini?

Sehemu ya nne inahusu sala muhimu.

Vipengele vya sala muhimu ni vingapi?

Vipengele vya sala muhimu ni saba.

App hii inafuatana na vitabu gani vya Biblia takatifu?

App hii inafuatana na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu.
author
Asanteni sana
Obadia Kabate
author
Good foundation
jeremiah sakalpo
author
Awsome
Andrew Omaye
author
nice
frank lawrence
author
very very good,
Wisman Kamendu
author
It's good be blessed...
Norman Awololo